Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Tunaomba omba sana wanaume hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

black sniper
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siyo poa..

Tuombe nini sasa Witty.. Maana hela ya Baby ni tamu aisee...
Akikupa hata elfu kumi na wewe una elfu hamsini.. ile elfu kumi itathaminiwa ajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Washauri wasiache kutupatia.. halafu siyo hadi waombwe jamani[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan hakuna pesa tamu dunian kama ya kupewa tu ni tamu mno ndio maana tushakuwa addicted 😂😂
 
Mwaka juzi nilimshirikisha wife kwenye project moja bahati mbayà nikipata loss ya milioni kadhaa, ilikuwa hatari yaani wife alipiga kelele nikakosa amani, mwaka huu sijamshilikisha na nimepata loss kubwa zaidi ila nipo na furaha tu, na nimepanga sitamshirikisha tena
mkuu hizo loss ni unaforexiana huko nini
 
Kidume unatoka home, jion unarudi na ndinga mpya toka show room au imporred hnachokabidhi ni documents tu ukimwagiza tunza mahala salama hizo nyaraka, umemaliza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siyo poa..

Tuombe nini sasa Witty.. Maana hela ya Baby ni tamu aisee...
Akikupa hata elfu kumi na wewe una elfu hamsini.. ile elfu kumi itathaminiwa ajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Washauri wasiache kutupatia.. halafu siyo hadi waombwe jamani[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajui tuu mkuu...elfu kumi ya hubby tamu kuliko 50k yako[emoji848]

Sema hawajui tuu
 
Mashost wasimcheke unafikiri mchezo lazima akinukishe
Alikinukisha ni balaa, ila baadaye nilikuja kujua kuwa wanawake wengi ni result oriented wanataka matokeo chanya kwenye project atashangilia na kujisifia kuwa yeye ndio alikuwa anapambana, ila yakitokea matokeo hasi yeye anakuwa hausiki na hapo ndio utabeba lawama zote
 
Ahaaaahaaahaaa[emoji91][emoji1787]

Ni kweli kabisa
 
Mi mwanzo wa mwaka namwambia wife mwaka huu tunafanya jambo hili,hili na hili.

Nakupa hela weka nisikute ht sh kumi imetoka na sitaki kusikia sababu yeyote ile bima ya afya zipo,chakula kipo na vicoba nishalipa.

Vita zinaanza yeye anasuka mipango ya kutafuta sababu ya kuchomoa japo laki 2 na mimi nasuka mipango ya kuzuia mpunga usitoke.

Nampigaga mkwara huo mpk hela anaisusa.

Tukubaliane hapa wanawake zetu hawa wengi wao hawawazi ht siku 2 mbele yaani unawezakaa na mkeo masaa 2 unamuelezea mpango wa jinsi ya kui attack 2022 na ukampa hela kabisa atunze yeye hlf mtu anakuja na ombi la hela ya kununulia kitu luxury tu cha kipuuzi tu yaani inakuwa km umepoteza mda kumuelezea mipango yako.INAKERA

Mi uwaga nageuka namkata jicho hilo anajua kabisa huyu mbwa anipi ht mia mbovu.

Yaani mwanamke hawazi kabisa nini kitatokea mbele,mwanaume upo busy kufanya mahesabu ya jinsi ya kuingiza pesa nyingi yeye analeta hoja ya jinsi ya kuzitumia.

Mi kwenye hizo sector nakuwaga dictator sitaki kbs plan iguswe nuna utakavyo hela haitoki.Mwisho tukinunua assets ndo utasikia apataye mke apata kitu chema,Eti yeye ndo kasababisha mi nifanikiwe zaidi wkt alikuwa ananisumbua tu.Wanapenda kuwa proud na achievements za familia ila kushiriki sasa ndo shida
Wanawake zetu hawajafundishwa ku handle mwanaume anayetafuta mafanikio, no wonder wanaume wengi hawataki kuwashirikisha wake zao,wanajua sana kukatisha tamaa lakini vile vile wanajua sana kujimilikisha mafanikio yasiyowahusu.

All in all,ukipata mwanamke mwenye akili mshirikishe at least 80% ya income yako,hiyo 20%bakisha ya kunywea alkasusu[emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom