Huo upuuzi wa sheria ya ndoa mtadili nao nyie! Chakula nitanunua ila mke lazma achangie kwenye kuijenga familia ili awe na uchungu na familia! Mwanamke pekee anaweza kufanya haya ni anayekupenda kwa dhati sio wale ambao wananufaika na huduma hizo!
Hii tabia ya kufuga wanawake kama paka au mbwa ndio imepelekea hata wao kuvunja ndoa kwao ni rahisi sababu hawana cha kupoteza! Mgawane mali kirahisi yeye hana alichowahi changia toka mmeanza atakuwa vipi na uchungu na wewe?
Nyumba umejenga wewe, gari umenunua wewe lako na lake, biashara umefungua wewe au kazi umemtafutia wewe .Yeye kazi yake ni kutanua mapaja tu na kujiliza liza na shida zake za kila siku akiskilizia utoe hela umpege tu! Na kazi anayo hapo...
Kwa sisi mila zetu za kipare mwanamke ni muwajibikaji sio mfugo!