Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Usipo kuwa mkali hamfanyi maendeleo maana akili zao zinawaza kupata na kutumia hazi focus maisha ya mbele.
 
Lengo hasa la kutaka kujua hela zote zilipo ni kutafta excuse ya kuongezewa fungu! Kwamba ulichompa mbona ni kidogo compared na unachokificha?πŸ˜… Akijua ataanza kusema unaficha ili uwape wanawake zako wengineπŸ˜…
 
Alafu wanawake bwana...yaani yeye amekuja kwako kuolewa kwa sababu una hela but yeye hataki mwanamke mwengine akupe mbususu kwa sababu una hela🀣🀣🀣🀣🀣
 
Umenena yote mzeya. Wana kauseminkao kakifala sana oh behind every succesful mannthere is a woman🀣🀣🀣🀣🀣. Behind every succesful man there is hardwork and determination bwana.
 
Usipo kuwa mkali hamfanyi maendeleo maana akili zao zinawaza kupata na kutumia hazi focus maisha ya mbele.

Kaka

Hawa watu hawawazi ht week mbele

Hili ni jukumu letu yaani ili mwanamke aanze kuwaza hivyo labda uwe na watoto 4 mmepamga na anaona mnaelekea kuzeeka kdg atajiongeza

Tunajenga lini ila hivi hivi yeye kazi yake ni makochi fashion mpya,gauni fashion mpya na tukatalii wapi
 
Huyo sio mke ni changu,na huyo jamaa yako anavumilia uhuni wa mkewe mpka ushahidi wa mtoa kadi ya 2m total...ataishia njiani hafiki mbinguni kwa kuvumilia uzinzi wa mkewe
 
Nyie ndio mnakariri sisi kutangulia kufa
 
Dah hyo ni kweli unajitoa wewe hujijengi mume anapeleka tu kwa mchepuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…