Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Mwanaume akitegemewa na ukoo mke jiandae kusakamwa na kuonekana mchoyo hatari
 
Wanaume wote wana fikra sawa na wewe ila shida moja ni kuwa hawa viumbe wote wanafanana tabia sasa utaacha wangapi
Watu hawafanani ni tofauti kabisa ni sawa na viatu viko vingi sana na size tofauti hii same applied na kwa binadamu tafta mtu utakayeendana naye maono Ili awe ka kiatu size yako
 
Dah hyo ni kweli unajitoa wewe hujijengi mume anapeleka tu kwa mchepuko
Halafu mbaya zaidi wakijua kuwa mwanamke anajenga bac huwanza wivu wakipuuzi na kujinunisha hovyo nakuleta ubabe wakipuuzi. Wanaume aina hii niwakupigwa matukio mpk akili ziwakae sawa wakija kushtuka tayr haupo umeanza maisha yako sehm nyingn
 
Mwanaume akitegemewa na ukoo mke jiandae kusakamwa na kuonekana mchoyo hatari
Mbaya zaidi akiwa na Mali hapo ndugu zake watakuita mchawi nakuleta vurugu hasa mawifi kuanza kumdangia kaka yao nakuwa nawivu. Ila akiwa kapuku ndugu watakuona wamaana sana nakujifanya kukupenda wakijua umewafichia aibu ya ndugu yao
 
Wala hatukarir lakin kusiwepo na usiri wa unachokimilik kwa mkeo
Mali utaambiwa ila mshahara hautambiwa iko hivyo siku zote labda kwa wachache ila wengi wetu iko hivyo huu utaratibu tumeukuta kwa wazee na walikuwa na maana yao tunauendeleza na bado watoto wetu wa kiume watautumia
 
Wanaume wasiojielewa ndio huficha mambo Matokeo Yao hufa ghafla na kuacha familia ikiteseka, Sasa unaishije na mtu usiye mwamini na hamshirikishani mambo yenu, wanaume oeni wanawake mnaoendana nao vision
Utazijua baada ya kufa
 
Siku ukihitaji pesa ya haraka ukapige magoti kwa mke sio? Sina huo ujinga..

Mimi hata hajuagi napata bei gani na bajeti nakadiria mwenyewe and it works for me.
 
Hapa nimechukua point,nitafungua mradi afu namuweka then faida ya hapo ndio ifanye shared issues afu zangu kama salary nitakuwa najiwekea akiba..

Tukivurugana tunagawana jasho,hii inapunguza maumivu.
 
Hahah, hili la kuchangia nadhani litakupa ugumu zaidi kwenye suala la wewe kuwa KICHWA,

Vipi ni mbinu unayoitumia au unatarajia kuja kutumia?
Inakuwa ni biashara ya familia kwa ajili ya mambo ya msingi tuu,akizingua bora akae benchi turudie ya zamani
 
Wanaume wengi sikuhizi tia maji tia maji Hadi mke analipia mahari yake
Unapenda kutunga stori ambazo hazipo..Jamaa kakupa jibu zuri Sana,nyie si mnasema mwanaume hana faida sasa how comes familia ziteseke baada ya kifo?.

Na bahati mbaya ndivyo huwa maana Mzee akiondoka tuu nyumba inabaki haina order kila mtu kivyake mnakutana jioni kama kuku.
 
Hapa nimechukua point,nitafungua mradi afu namuweka then faida ya hapo ndio ifanye shared issues afu zangu kama salary nitakuwa najiwekea akiba..

Tukivurugana tunagawana jasho,hii inapunguza maumivu.
Ofcourse hapo inakuwa haina mjadala yani wote mmeshare resources na trust me hawezi leta ujinga ukiweka huo mfumo sababu unakuwa na full time supervision juu ya kinachoendelea kwenye mradi.
 
Ukitaka biashara ya mwanamke iwe vizuri uwe msimamizi la hasha ujiridhishe kwamba ana kichwa cha biashara..

Kama huwezi muache kabisaa awe mama wa nyumbani.
 
Usipo muamini mkeo unatak umuamini nani sasa kuna haja gani yakuoa sibora uendlee kununua Malaya wakufurahishe kimwili ukitaka watoto zaa na wanawake wengine ulee mwenyew
Haja ipo ya kuzaa watoto kwenye mpango unaoeleweka.
 
Yes wapo wengi tu tena nawengine wanaumri mkubwa ukimuuliza unamalengo gan au ndoto gan kweny maisha yake bado hajui chochote. Hata ukimuuliza wew ni nani hajijui sasa huyu tumuwek kundi gani?
Utasikia namlea mtoto wangu aje anisaidie baadae akikua 😄😄 ,zero brain
 
Unampa laki 3 anatuma mbili anakwambia wakala hakuwa na float ya kutosha😅😅😅! Yani mwanamke ana uchungu hata na hela ambayo hajatoa yeye!
Hapo ndipo mimi tulishashindana na wanawake,wanakuaga na uchungu hadi roho zinataka kuwachomoka kwa pesa ya mwingine..

Huwa Wana mapepo ya hela sasa akijua unazo atatafuta mbinu akudhibiti maana akili yake inawaza kuhonga sasa ni bora asijue kitu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…