Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Habari Wana jamvi,

Kwa wanaume mliooa naomba kuuliza ni kwanini haumshilikishi mkeo vyanzo vyako vya mapato?? Au ulikua unamshilikisha afu ukaacha why?

Ladies take note
Wanawake mnajua sana kupanga bajeti bila kujua hiyo hela imepatikanaje.
 
Hapo mzee patakusumbua sana, asili ilivyo ni kwamba mwanamke ameumbwa kupokea tu na mwanaume ndiyo anayetoa. Akipata kazi yake usiitilie maanani labda atake mwenyewe kuchangia. Hata hivyo unayo maamuzi afanye kazi au asifanye. Kuishi na mke kunahitaji akili ya ziada ndiyo kupevuka kwenyewe hasa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] utaskia mke anamuambia mume wake mkweo anataka smart phone au wazaz wamesema umlipie mdogo wangu ada[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa mwanaume sijui amemuoa nani kwenye familia hii sabab kila mmoja anamchuna si mkewe, mama mkwe, mashemeji bado baba mkwe si atakimbia nyumba
 
Tena wengi wa aina hii ubahatike mwenye upendo wa dhati aliyeamua kujitoa kwelikweli kwako! La sivyo humo ndani mtakuwa na wanaume wawili mmoja mkubwa mwingine mdogo. Chunguza hii kitu utaona mzee, hapo unatakiwa kuwa mkali kama pilipili na misimamo ili mwende sawa
 
Yeah ndio maana nikasema mwanamke lazma awe na upendo wa dhati lazma umchunguze how deep ana huruma na wewe na maisha yako.

Kwa mwanamke ambaye anakuchukulia kama mume ni cheo flani tu hana upendo na wewe hapo ndio mtapoanza kuhesabiana mbao😅! She has to view developments kama obligations za kujenga familia.
 
Na hapo mwanaume ili kutetea taji atapambana akave vyote hata kwa awamu tu😅 ila mwanamke huyo huyo ikitokea mtoto wa kaka wa mume anahitajika ada tu utaona anavyofyum hela ikipelekwa huko!
 
Huyu mimi dakika 0 tu namzingua, yaani kama sijazaa nae naweza mwambia endelea na maisha yako sasa, haiwezekani tutiane Loss alafu hawa mashost ndio huwa wanaharibu manina zao.
 
Mkuu hivi unaamini kuna wanawake wanaweza kuwa wanafanya kazi na kuwasilisha kipato chao kwa wanaume zao? I’ve witnessed it myself...

Wapo wanawake ambao wanafanya biashara kubwa tu na wako transparent sababu wao na waume zao wana work as a team tayari! Nimepata sh. flani mme wangu hebu nipe mawazo tuifanyie nini hii hela! There are these kind of women and ofcourse she has to be loving you right and you treat her well! Wachache waliobahatika kuijua saikolojia ya wanawake they have these women na wanainjoy maisha.

Tatizo tumeathirika sana na wanawake ambao wana malezi mabovu to an extent imefikia wakati tunaona ubinafsi wa wanawake ni haki yao na mistreatments zao ni sawa!
 
Sasa this was what i was trying to explain japo from my own point of view!

Hapo kuna mwanamke ambaye yupo tayari to work with you as a team kujenga future yenu! Mwanamke wa hivyo hawezi kuficha hela zake au kuwa mchoyo na hela zake pale ambapo atakuwa anahitajika kutoa support!

Wanaume wengi ni wahanga wa mistreatments za wanawake wabinafsi na wachoyo to an extent wanahisi kuwa wanawake wapo sahihi kuwa mistreat!
 
Hahaha,
 
Yani we acha umeolewa wewe sio ukoo mzima aisee to much njaa is harmful for relations ina maana bila huyo mume wasingeishi jamani.
 
Na hapo mwanaume ili kutetea taji atapambana akave vyote hata kwa awamu tu[emoji28] ila mwanamke huyo huyo ikitokea mtoto wa kaka wa mume anahitajika ada tu utaona anavyofyum hela ikipelekwa huko!
Kupelekewa ada hiyo mbali mbona, asikie tu mkweo anaumwa hivyo anakuja kutibiwa hapa kwangu umuhudumie, [emoji1] [emoji1] [emoji1] wee hapo mwanamke atawaka atatafuta sabb zakutompokea mama mkwe wake nakujifanya anaumwa ghafla dah Mungu atunusur kwakwel tumezid roho mbaya
 
Mmmmmmhmn ...... [emoji848][emoji848][emoji848]

This makes a lot of sense if take a deep look at what's happening in reality.
 
Huyu mimi dakika 0 tu namzingua, yaani kama sijazaa nae naweza mwambia endelea na maisha yako sasa, haiwezekani tutiane Loss alafu hawa mashost ndio huwa wanaharibu manina zao.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwani hao mashoga walipata wapi taarifa za familia yako kama sio mkeo ndio kawaeleza ukiona hivyo tabia zake huzielew mrudishe kwao akafunzwe vzr namna ya kuishi na mwanaume na umuhimu wa chumba cha wanandoa
 
Na hata mama mkwe akija mboga itabadilika ni mchicha, marage na cabbage nyama weekend baba ukiwepo home!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwani hao mashoga walipata wapi taarifa za familia yako kama sio mkeo ndio kawaeleza ukiona hivyo tabia zake huzielew mrudishe kwao akafunzwe vzr namna ya kuishi na mwanaume na umuhimu wa chumba cha wanandoa
Hahahhaha mwanamke mwenye mashosti kumuoa ni kujitaftia matatizo yani! Nashukuru mengi nilishajifunza juu ya wanawake if i have to make a choice ntachagua mwanamke ambaye ataendana na mimi atleast by 90% hizo kumi ni za kuvumiliana tu!
 
Hahahahahah una Moyo kweli! Wengine anakupinga hamna kutuma hela huko[emoji28] ukituma ndani unanuniwa week zima na papuchi hupewi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwangu papuchi atatoa na kama akiomba hela isiyo kuwa na maelezo ataona jicho limekua lekundu utashangaa anasema basi tu mume wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], maisha yanasonga ila kama ninacho sometime huwa namnunulia mwenyewe bila hata kuniagiza. Mwanamke sometimes inabidi na kaubabe kawepo. Siku natuma hela nyumbani namwambia natuma hii hela au nampa mwenyewe akaitume sasa ole wake apunguze.
 
Unampa laki 3 anatuma mbili anakwambia wakala hakuwa na float ya kutosha😅😅😅! Yani mwanamke ana uchungu hata na hela ambayo hajatoa yeye!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…