Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Vyanzo kuvifahamu sio shida, kiasi unachopata ndio tatizo.
Mfano wewe ni fundi kama hujapata kazi anatambua ila ukipata kazi jitahidi % fulani save na kingine ingiza kwenye matumizi ya familia
 
Hapo ndipo mimi tulishashindana na wanawake,wanakuaga na uchungu hadi roho zinataka kuwachomoka kwa pesa ya mwingine..

Huwa Wana mapepo ya hela sasa akijua unazo atatafuta mbinu akudhibiti maana akili yake inawaza kuhonga sasa ni bora asijue kitu..
Juzi kuna maza mtu mzima kabisa, mzee alikuwa anataka mjukuu wake aje likizo desemba yukogo bush ila akasema mama wa mtoto ampigie simu mkewe ili mke ndio amtumie nauli.

Huwezi amini siku ya kwanza wameongea freshi juu ya intention ya mjukuu kwenda likizo akaambiwa kabisa na mazingira ya nauli. After 3 days anapigiwa simu hapokei kabisa yani na hela sio kwamba angetoa yeye ni mzee ndo anatoa.

Ikafikia mahala ikabidi niwaconnect direct na mzee😅 maana mkewe anapigiwa simu hapokei.
 
Unapenda kutunga stori ambazo hazipo..Jamaa kakupa jibu zuri Sana,nyie si mnasema mwanaume hana faida sasa how comes familia ziteseke baada ya kifo?.

Na bahati mbaya ndivyo huwa maana Mzee akiondoka tuu nyumba inabaki haina order kila mtu kivyake mnakutana jioni kama kuku.
Nimeandika uhalisia wangu bana
 
Back
Top Bottom