haya mambo ukiyafikiria yana ugumu mno ndani yake..!Sometimes huwa tuna-act kama tumepoteza attention kwa hao marafik,
Sometimes cku za mwanzoni love inakuwa in deep....
Sometimes mke anakuwa kashaanza kuleta upuuz hivyo tunapoteza attention
Sometimes..........
Sometimes..........
Japo sijaoa bad but that's facts
that's the idea pia inawezekana..!!huwa tunarudi kwa wale marafiki wa kike tunaowaona cheap and easy to eat na ndoa ikawa salama, licha ya kwamba wao hujiona wa thamani na sisi huwaaminisha hivyo kumbe ndio tunaandaa michekupo.
najaribu kuwaza tu.
Inategemea uliolewa kwasababu gani, kama nwanaume alikupenda atavumilia mapungufu yako.Wakati mwingine huwa nahisi siyo rahisi kuwa mwanamke..
Mwanamke ni wa mwanamume mmoja ila mwanamume ni wa wanawake wengi sijui unanielewa?Ni ujinga kudhani unaikomoa familia ya watu.!
😂😂 So ukaamua uolewe usinipe hata kadi..? Wacha awatafuteWaje tu kwa kweli, this sh*t is so serious.!
Rafiki,
Kuna pahala nimeandika hivyo Leo kumbe?? Au we umeyatoa wapi?
Ukiona hivo kosa lipo kwako wewe mwanamke umeshindwa kuvifuta walivyo mpa wale. So pambana mzee kumlisha mbwa wakoMerry Christmas Dears,
Ndugu zetu wa kiume mliooa, naombeni mnisaidie kunifahamisha kitu gani huwa kinafanya baadhi yenu mrudishe attention kwa kasi kwa washikaji zenu (hasa wa kike) miezi kadhaa baada ya kuoa na wakati miezi ya awali huwa mnawafungia vioo na kuwapotezea kabisa, baada ya muda mfupi tu huwa mnajikuta mmebadilika kabisa, Je, ni kwanini..!?
Enwei, karibuni sikukuu ila mje na kifukuza nyuki maana siyo kwa bucket hii ya fanta orange..!! [emoji23]
Hisia? Hivi hujui kama kwenye ndoa mwanaume ndiye anae sumbuliwa sana mwanamke.Hamuoni mnatesa wenza wenu kihisia.?
Asipo kuelewa na hapa basi hataki jibu.1.ukimuoa mwanamke ndo utajua alikuwa ana act vitu vingi na sio kufanya sababu ya mapenzi...big turn OFF
2.Freedom
Hamna kitu kinamfanya mwanaume kufanya mambo ya ajabu km mwanamke anayemnyima freedom na hapo hapo hampi sex au anampangia masharti kwenye mapenzi.Amekaa kaa tu km dada yako hlf analeta visheria vya kipuuzi.Hapa ndo wengi wenu ht makofi mnapigwaga mixer kuonyeshwa dharau za wazi waZi.Mwanaume anapenda uhuru, SAWA unaweza kumnyima uhuru huo kiakili sana hasa km mwanamke ana libido kubwa which is rare.Best way ya kupora uhuru wetu ni kutupa sex tu otherwise utabutuliwa makofi kila siku unayolazimisha ashinde home na wewe
3.Sex sex sex
The moment,sex imekuwa ya masharti na ya kubembeleza sana .JUA KABISA U ARE USELESS mimi km mwanaume naamini mwanaume hawezi kuwa na mapenzi ya dhati na mwanamke ambaye anafanya nae sex ili mradi,80% ya wanaume hawawezi kumpenda mwanamke kwa kipindi kirefu hada km sex anachukulia km sio jukumu lake kutimiza.Chekeni,tokeni outings,dance pamoja ila km unachukulia hilo linatosha ujue kabisa unapoteza mda wako tu.Asilimia 80 ya matatizo ya kwenye ndoa yangeweza kuisha km wanawake wangejua sex ni number one priority ya mwanaume.Kwani mwanaume anataka mambo mengi basi sex na heshima basiiiiiiii mengine yote ni kimbelembele chako tu.
When sex is good na mwanamke anaonyesha ni kiupaumbele kwenye ndoa basi mwanaume automatic anawahi nyumbani tu.Mwanamke alianza kutumia sex km fimbo ya kumchapia mwanaume ujue kabisa mwanaume atakufanyia vitu vya kipuuzi kwa kujiamini sana mpk utashangaa inamaana huyu hawazi kuwa naumia in fact anataka kukuumiza. Sababu you are useless kwake ni vifurushi tu la mahindi,thamani yako imeshuka.
Kwenye kitchen party zenu kila siku mnaambiwa mwanaume we mpe tu akitaka ht ukichoka we mpe tu basi wewe unahisi labda ni utumwa sio utumwa.Hiyo ndo njia sahihi ya kumtawala mwanaume otherwise utashangaa unadondosha kijiko unafokewa ,umezidi chumvi kdg chakula hali,unaomba 50k unaitwa una matumizi ya kijinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani kahaba anawezaje kumfanya mwanaume mwenye masters vyeti O.G kutelekeza familia!kumjengea nyumba!kumfungulia biashara!Kahaba ana nini cha ziada heshima hana,utupu umechoka,madhaifu kibao unadhani anakushinda wapi wewe ambaye mwanaume kwa akili zake alikuona unafaa kuwa mke wake?utasikia uchawi kabla ya uchawi kuna unlimited good sex isiyo na masimang’o.
Aya wale wanawake wote wanaoletage usemi wa kuwa ndoa ni zaidi ya sex njooni msome hapa. Wee umeolewa utoe burudani ya mbususu achana na ujinga wakisema tunanataka kujenga future. Wenye future ni hao watoto wa primary.1.ukimuoa mwanamke ndo utajua alikuwa ana act vitu vingi na sio kufanya sababu ya mapenzi...big turn OFF
2.Freedom
Hamna kitu kinamfanya mwanaume kufanya mambo ya ajabu km mwanamke anayemnyima freedom na hapo hapo hampi sex au anampangia masharti kwenye mapenzi.Amekaa kaa tu km dada yako hlf analeta visheria vya kipuuzi.Hapa ndo wengi wenu ht makofi mnapigwaga mixer kuonyeshwa dharau za wazi waZi.Mwanaume anapenda uhuru, SAWA unaweza kumnyima uhuru huo kiakili sana hasa km mwanamke ana libido kubwa which is rare.Best way ya kupora uhuru wetu ni kutupa sex tu otherwise utabutuliwa makofi kila siku unayolazimisha ashinde home na wewe
3.Sex sex sex
The moment,sex imekuwa ya masharti na ya kubembeleza sana .JUA KABISA U ARE USELESS mimi km mwanaume naamini mwanaume hawezi kuwa na mapenzi ya dhati na mwanamke ambaye anafanya nae sex ili mradi,80% ya wanaume hawawezi kumpenda mwanamke kwa kipindi kirefu hada km sex anachukulia km sio jukumu lake kutimiza.Chekeni,tokeni outings,dance pamoja ila km unachukulia hilo linatosha ujue kabisa unapoteza mda wako tu.Asilimia 80 ya matatizo ya kwenye ndoa yangeweza kuisha km wanawake wangejua sex ni number one priority ya mwanaume.Kwani mwanaume anataka mambo mengi basi sex na heshima basiiiiiiii mengine yote ni kimbelembele chako tu.
When sex is good na mwanamke anaonyesha ni kiupaumbele kwenye ndoa basi mwanaume automatic anawahi nyumbani tu.Mwanamke alianza kutumia sex km fimbo ya kumchapia mwanaume ujue kabisa mwanaume atakufanyia vitu vya kipuuzi kwa kujiamini sana mpk utashangaa inamaana huyu hawazi kuwa naumia in fact anataka kukuumiza. Sababu you are useless kwake ni vifurushi tu la mahindi,thamani yako imeshuka.
Kwenye kitchen party zenu kila siku mnaambiwa mwanaume we mpe tu akitaka ht ukichoka we mpe tu basi wewe unahisi labda ni utumwa sio utumwa.Hiyo ndo njia sahihi ya kumtawala mwanaume otherwise utashangaa unadondosha kijiko unafokewa ,umezidi chumvi kdg chakula hali,unaomba 50k unaitwa una matumizi ya kijinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani kahaba anawezaje kumfanya mwanaume mwenye masters vyeti O.G kutelekeza familia!kumjengea nyumba!kumfungulia biashara!Kahaba ana nini cha ziada heshima hana,utupu umechoka,madhaifu kibao unadhani anakushinda wapi wewe ambaye mwanaume kwa akili zake alikuona unafaa kuwa mke wake?utasikia uchawi kabla ya uchawi kuna unlimited good sex isiyo na masimang’o.
Haya mambo wanafanya wanaume na wanawake siyo suala la jinsia bali mtu mmoja mmoja.Merry Christmas Dears,
Ndugu zetu wa kiume mliooa, naombeni mnisaidie kunifahamisha kitu gani huwa kinafanya baadhi yenu mrudishe attention kwa kasi kwa washikaji zenu (hasa wa kike) miezi kadhaa baada ya kuoa na wakati miezi ya awali huwa mnawafungia vioo na kuwapotezea kabisa, baada ya muda mfupi tu huwa mnajikuta mmebadilika kabisa, Je, ni kwanini..!?
Enwei, karibuni sikukuu ila mje na kifukuza nyuki maana siyo kwa bucket hii ya fanta orange..!! 😂