Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ni kumbukizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una miezi mingapi tangu uoe???Mimi siwezi kutoa ushuhuda, sijahangaika mtafuta mtu tangu nimeoa.
Asipo kuelewa na hapa basi hataki jibu.
Ukiondoa sex wanaume tusingekuwa nashida na wanawake kabisa hata hao wenye mashape kama show mbovu nae anatemwa tu.
Kwani anavozani yeye huko kwa marafiki zake wazamani mwanaume anafata future au pesa?Wanajifanyaga vichwa vigumu tu
Mwanamke hana cha maana cha kumpa mwanaume akaridhika zaidi ya sex .Vingine vyote ni upuuzi tu na kero tu
Hii inaleta ujasiri kwamba hawawezi kufanya lolote kwakuwa umeshaoa...mimi ilinikuta hii ila MKE WANGU aliwapiga mkwara wa kutosha.Merry Christmas Dears,
Ndugu zetu wa kiume mliooa, naombeni mnisaidie kunifahamisha kitu gani huwa kinafanya baadhi yenu mrudishe attention kwa kasi kwa washikaji zenu (hasa wa kike) miezi kadhaa baada ya kuoa na wakati miezi ya awali huwa mnawafungia vioo na kuwapotezea kabisa, baada ya muda mfupi tu huwa mnajikuta mmebadilika kabisa, Je, ni kwanini..!?
Enwei, karibuni sikukuu ila mje na kifukuza nyuki maana siyo kwa bucket hii ya fanta orange..!! 😂
sister maixha tu yaan katka dunia hii kuna mengiMerry Christmas Dears,