Kwanini wanaume waliooa huwasiliana na marafiki zao wa kike wiki chache baada ya ndoa?

Ni katika kuhakikisha tu undugu na urafiki unabaki
 
Asipo kuelewa na hapa basi hataki jibu.

Ukiondoa sex wanaume tusingekuwa nashida na wanawake kabisa hata hao wenye mashape kama show mbovu nae anatemwa tu.

Wanajifanyaga vichwa vigumu tu

Mwanamke hana cha maana cha kumpa mwanaume akaridhika zaidi ya sex .Vingine vyote ni upuuzi tu na kero tu
 
Wanajifanyaga vichwa vigumu tu

Mwanamke hana cha maana cha kumpa mwanaume akaridhika zaidi ya sex .Vingine vyote ni upuuzi tu na kero tu
Kwani anavozani yeye huko kwa marafiki zake wazamani mwanaume anafata future au pesa?
Kule anafata gegedo tu, Nahisi ndy maana ya mwende mkaijazee dunia.
 
Hii inaleta ujasiri kwamba hawawezi kufanya lolote kwakuwa umeshaoa...mimi ilinikuta hii ila MKE WANGU aliwapiga mkwara wa kutosha.
 
sister maixha tu yaan katka dunia hii kuna mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…