Kwanini wanaume wananunua dada poa?

Kwanini wanaume wananunua dada poa?

SimbaMpole123

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2023
Posts
5,501
Reaction score
4,956
Habari wanajukwaa,

Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo.

Kila siku tunaskia mara dadapoa wamekamatwa wapi cjui...ila hatujiulizi why wanaongezeka badala ya kupungua.

So inabidi tuulize, why wanaume hutumia dadapoa. Siulizi kusema vibaya mtu yoyote, coz tunatofautiana Imani, mapenzi, hisia, mitazamo etc. na kutumia dadapoa ni kama kupiga puli hamna mwanaume atakubali ila ndo wengi hufanya kwa siri.

Sipo hapa kujua nani anafanya nini Nataka nipate Sababu tu zinazodhaniwa kufanya wanaume kufata dadapoa. Kwanzia watoto mpaka wababa wenye wake na watoto...madadapoa wengine wana wateja mpaka watano kwa siku.

Kwa nini na Kuna mademu mitaani, maofisini, vyuoni, nyumbani nk. Sababu zinazosemwa ni:
  • Kutoridhika na mahusiano au ndoa
  • Mapenzi siku hizi ni gharama so hamna tofauti na kununua dadapoa
  • Wengine hawaenjoy mademu normal wanapenda mambo mazuri mazito
  • Na kadhalika
So wanajukwaa, waume kwa wake, why why why? Naomba majibu.
 
Wanawake wote hata mkeo ni dadapoa, utofauti ni jinsi wanavojiuza. Sasaiv wameboresha inaitwa hookup lkn mwendo ni ule ule. Mwanamke ambaye unalala nae kwa lengo umpe chochote k2 ni dadapoa, hata mchepuko wako na hao mademu mtaani na maofisini. Naomba kuwasilisha. # No malice to anybody
 
  • Dada poa hawaombi hela ya Gesi wala wazazi wao hawaumwi ghafla pale utakapo onyesha nia ya kuhitaji kipochi manyoya.
  • Hawana usumbufu kwenye suala la budget huwa wana Price tag kabisa.
  • Baada ya kukupatia huduma hana usumbufu wa kukutumia meseji wala kukupigia simu za kukuuliza 'umekula baby?' 'ulikuwa wapi?' 'ulikua unaongea na nani?'
  • Next time hata mkikutana ukiwa na demu mwingine yeye hana noma, atakupa hi tu.
Ni wazuri sana kama haupendi maisha ya kitoto toto na drama za kijinga jinga. Kwa watu tunaopenda amani ya moyo na ku concentrate kwenye mambo mengine ya msingi wanatuokoa sana.
 
  • Dada poa hawaombi hela ya Gesi wala wazazi wao hawaumwi ghafla pale utakapo onyesha nia ya kuhitaji kipochi manyoya.
  • Hawana usumbufu kwenye suala la budget huwa wana Price tag kabisa.
  • Baada ya kukupatia huduma hana usumbufu wa kukutumia meseji wala kukupigia simu za kukuuliza 'umekula baby?', 'ulikuwa wapi?', 'ulikua unaongea na nani?'.
  • Next time hata mkikutana ukiwa na demu mwingine yeye hana noma, atakupa hi tu.
Ni wazuri sana kama haupendi maisha ya kitoto toto na drama za kijinga jinga. Kwa watu tunaopenda amani ya moyo na ku concentrate kwenye mambo mengine ya msingi wanatuokoa sana.
Eti, mjomba kameza shoka.
 
Back
Top Bottom