Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Basi awowe dada poaWatu wengi ndoa ni kwaajil ya familia, lkn kuenjoi mahmbomahmbo lazma ujihusiahe na Hawa dadazz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi awowe dada poaWatu wengi ndoa ni kwaajil ya familia, lkn kuenjoi mahmbomahmbo lazma ujihusiahe na Hawa dadazz.
Kuna tofauti kati ya Wanaume na Wavulana..Habari wanajukwaa
Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo
Kila siku tunaskia mara dadapoa wamekamatwa wapi cjui...ila hatujiulizi why wanaongezeka badala ya kupungua.
Naamini Katika maisha Kuna demand side na supply side. Ukisema uzuie dadapoa unakuwa hujasolve tatizo la wanaotumia hao dadapoa.
So inabidi tuulize, why wanaume hutumia dadapoa. Siulizi kusema vibaya mtu yoyote, coz tunatofautiana Imani, mapenzi, hisia, mitazamo etc. na kutumia dadapoa ni kama kupiga puli hamna mwanaume atakubali ila ndo wengi hufanya kwa siri. ..
Sipo hapa kujua nani anafanya nini Nataka nipate Sababu tu zinazodhaniwa kufanya wanaume kufata dadapoa. Kwanzia watoto mpaka wababa wenye wake na watoto...madadapoa wengine wana wateja mpaka watano kwa siku...
Kwa nini na Kuna mademu mitaani, maofisini, vyuoni, nyumbani nk...
Sababu zinazosemwa ni
Kutoridhika na mahusiano au ndoa
Mapenzi siku hizi ni gharama so hamna tofauti na kununua dadapoa
Wengine hawaenjoy mademu normal wanapenda mambo mazuri mazito
Na kadhalika
So wanajukwaa...waume kwa wakike
Why why why
Naomba majibu
Akiona tarehe za mshahara gesi yake inaisha, luku inaisha, baba anaumwa, mdogo wake anataka nauli aje amtembelee, anataka kusuka na kubandika makucha ya kunguru, bando lake linaisha, anadaiwa kikoba, anaona gauni zuri etc. WTF?!!!Eti, mjomba kameza shoka.
Hayaoleki yale mikurumbembe sio rahisi kuolew.Basi awowe dada poa
Mkurumbembe ukimaanisha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hayaoleki yale mikurumbembe sio rahisi kuolew.
Mkuu agiza kinywaji...then tuma lipa namba ya hapo ofisini kwa peninaNi wazuri sana kama haupendi maisha ya kitoto toto na drama za kijinga jinga. Kwa watu tunaopenda amani ya moyo na ku concentrate kwenye mambo mengine ya msingi wanatuokoa sana.
- Dada poa hawaombi hela ya Gesi wala wazazi wao hawaumwi ghafla pale utakapo onyesha nia ya kuhitaji kipochi manyoya.
- Hawana usumbufu kwenye suala la budget huwa wana Price tag kabisa.
- Baada ya kukupatia huduma hana usumbufu wa kukutumia meseji wala kukupigia simu za kukuuliza 'umekula baby?', 'ulikuwa wapi?', 'ulikua unaongea na nani?'.
- Next time hata mkikutana ukiwa na demu mwingine yeye hana noma, atakupa hi tu.
Ule uzi wako sijui ulikuwa na shida gani ghafla wakapita nao 😄Eti, mjomba kameza shoka.
Mnaishi kinadharia..Mkuu agiza kinywaji...then tuma lipa namba ya hapo ofisini kwa penina
Sijakuelewa kijanaMnaishi kinadharia..
Grow Up
Kuwa.Sijakuelewa kijana
Eti jamaniWhy why why why 🙌 🙌 🙌 🙌
Sawa michepuko ipo...why dada poaWatu wengi ndoa ni kwaajil ya familia, lkn kuenjoi mahmbomahmbo lazma ujihusiahe na Hawa dadazz.
Jibu maswaliHow old are you to come up with this ridiculous post/inquiry??
Okay nimekuelewa so swala Zima mainly lipo kwenye game...sawa nimeelewa mkuu asanteSwali lako umetuuliza wanaume kwanini tunanunua dada poa ndio maana nikasema changamoto za wanawake zinazosababisha tununue dada poa. Ulitaka niwasemee wanawake wakati hawajajumuishwa kwenye swali
Hakuna mdoli mkuu katika mapenzi sio mara zote stimu zinawashika kwa pamoja kuna muda mwanaume unapandwa na stimu wakati mwanamke hana na kuna muda mwanamke anapandwa na stimu wakati mwanaume hana katika hali iyo inabidi tu kupiga game kumridhisha mwenzako shida ni kwamba mwanamke akitaka game mwanaume yupo fiti muda wowote lakini mwanaume akitaka game anapewa kwa kupangiwa
Wanaume pia tuna mapungufu yetu nimejibu kwa namna ulivyoileta mada yako lakini sijasema kwamba wanaume ni wakamilifu kwenye mahusiano
Hii ni tafsiri yako, tupo wanaume wengi tu ambao hatuna mtazamo kama huo
NakaziaNi wazuri sana kama haupendi maisha ya kitoto toto na drama za kijinga jinga. Kwa watu tunaopenda amani ya moyo na ku concentrate kwenye mambo mengine ya msingi wanatuokoa sana.
- Dada poa hawaombi hela ya Gesi wala wazazi wao hawaumwi ghafla pale utakapo onyesha nia ya kuhitaji kipochi manyoya.
- Hawana usumbufu kwenye suala la budget huwa wana Price tag kabisa.
- Baada ya kukupatia huduma hana usumbufu wa kukutumia meseji wala kukupigia simu za kukuuliza 'umekula baby?', 'ulikuwa wapi?', 'ulikua unaongea na nani?'.
- Next time hata mkikutana ukiwa na demu mwingine yeye hana noma, atakupa hi tu.
Hujajibu maswaliKuna tofauti kati ya Wanaume na Wavulana..
Take Care..
😵😵
Siku ukioaHabari wanajukwaa
Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo
Kila siku tunaskia mara dadapoa wamekamatwa wapi cjui...ila hatujiulizi why wanaongezeka badala ya kupungua.
Naamini Katika maisha Kuna demand side na supply side. Ukisema uzuie dadapoa unakuwa hujasolve tatizo la wanaotumia hao dadapoa.
So inabidi tuulize, why wanaume hutumia dadapoa. Siulizi kusema vibaya mtu yoyote, coz tunatofautiana Imani, mapenzi, hisia, mitazamo etc. na kutumia dadapoa ni kama kupiga puli hamna mwanaume atakubali ila ndo wengi hufanya kwa siri. ..
Sipo hapa kujua nani anafanya nini Nataka nipate Sababu tu zinazodhaniwa kufanya wanaume kufata dadapoa. Kwanzia watoto mpaka wababa wenye wake na watoto...madadapoa wengine wana wateja mpaka watano kwa siku...
Kwa nini na Kuna mademu mitaani, maofisini, vyuoni, nyumbani nk...
Sababu zinazosemwa ni
Kutoridhika na mahusiano au ndoa
Mapenzi siku hizi ni gharama so hamna tofauti na kununua dadapoa
Wengine hawaenjoy mademu normal wanapenda mambo mazuri mazito
Na kadhalika
So wanajukwaa...waume kwa wakike
Why why why
Naomba majibu
Siku ukioa utajua...Habari wanajukwaa