MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Hapana Gharama sio issue, issue ni pale unapotaka kuleta gharama kwa sababu ambazo hazina mashiko, hilo kwangu huwa nalichukulia ni kama unadharau utashi wangu (insulting my intelligence) so ni vyema niende kwa anayekuja na gharama zake mezani tu bargain tufunge biashara katika hali ya win-win situation.So issue nzima ni wadada ni expensive na wana drama?
Kuliko nipoteze muda kukutongoza alafu nikiomba game uanze kuja na story za luku imekata, mara hauna gesi etc. Naweza kugharamia vyote hivyo but not at the expense of 'Insulting my intelligence', ni bora niende kwenye huduma za kulipia moja kwa moja