SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Habari wanajukwaa,
Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo.
Kila siku tunaskia mara dadapoa wamekamatwa wapi cjui...ila hatujiulizi why wanaongezeka badala ya kupungua.
So inabidi tuulize, why wanaume hutumia dadapoa. Siulizi kusema vibaya mtu yoyote, coz tunatofautiana Imani, mapenzi, hisia, mitazamo etc. na kutumia dadapoa ni kama kupiga puli hamna mwanaume atakubali ila ndo wengi hufanya kwa siri.
Sipo hapa kujua nani anafanya nini Nataka nipate Sababu tu zinazodhaniwa kufanya wanaume kufata dadapoa. Kwanzia watoto mpaka wababa wenye wake na watoto...madadapoa wengine wana wateja mpaka watano kwa siku.
Kwa nini na Kuna mademu mitaani, maofisini, vyuoni, nyumbani nk. Sababu zinazosemwa ni:

- Kutoridhika na mahusiano au ndoa
- Mapenzi siku hizi ni gharama so hamna tofauti na kununua dadapoa
- Wengine hawaenjoy mademu normal wanapenda mambo mazuri mazito
- Na kadhalika