Kwanini wanaume wananunua dada poa?

So why watu wasiishie huko waende Hawa wa showtime...why isiwe dating tu
 
So issue nzima ni wadada ni expensive na wana drama?
 
Mambo vp ? malice to any body
 
Kwenye suala la sex wanawake wana changamoto nyingi sana. Mwanaume yupo tayari kwa show 24hrs lakini mwanamke excuses ni nyingi sana mara amechoka, mara yupo period, mara mara mara ni nyingi sana ndipo hapo mwanaume anaona bora aende nje kutimiza mahitaji yake.

Kitu kingine kwa sasa mapenzi yamekua liability kwa mwanaume. Wanawake wanataka kuhudumiwa halafu wao wenyewe hawana positive output yoyote wanaona wajibu wao unaishia kwwnye kutoa K tu halafu mwanamke uyo bado akuletee mapozi, jeuri na wakati wowote anaweza kufanya maamuzi ya kukuacha bila kufidia gharama ulizoingia kwake ndipo hapo unaona bora kununua malaya tu.

Suluhisho; wanawake wawape sex wapenzi wao kila wanapohitaji na kwa kiasi kinachowatosheleza pia waache tamaa kama wanaowapenda hawana hela wakomae nao hao hao wapambanie maisha pamoja kuanzia chini
 
Okay so hio ni solution kutokana na tatizo lakini don't u think umebana sana wanawake. Umeangalia upande mmoja kwamba umle demu mda wote, asikuombe hela sana, etc ...asa amekuwa mdoli au binadamu. Na pia mbona hatuangalii upande wa mwanaume ..Kuna wanaume wamedate na wadada mda wote wakitaka wanapewa na matumizi ni ya msingi tu sio expenses za kijinga ila mdada wa hivyo wanaume mnamwita cheap? Huoni tatizo hilo...demu akipenda kweli bila kuwa ombaomba mnamuita cheap na Malaya ila akinyima au akiwa expensive mnaenda kwa Malaya....
Asa wanawake hawajui wafanyaje
 
Okay so hio ni solution kutokana na tatizo lakini don't u think umebana sana wanawake. Umeangalia upande mmoja kwamba umle demu mda wote, asikuombe hela sana, etc ...asa amekuwa mdoli au binadamu. Na pia mbona hatuangalii upande wa wanaume
Swali lako umetuuliza wanaume kwanini tunanunua dada poa ndio maana nikasema changamoto za wanawake zinazosababisha tununue dada poa. Ulitaka niwasemee wanawake wakati hawajajumuishwa kwenye swali
asa amekuwa mdoli au binadamu.
Hakuna mdoli mkuu katika mapenzi sio mara zote stimu zinawashika kwa pamoja kuna muda mwanaume unapandwa na stimu wakati mwanamke hana na kuna muda mwanamke anapandwa na stimu wakati mwanaume hana katika hali iyo inabidi tu kupiga game kumridhisha mwenzako shida ni kwamba mwanamke akitaka game mwanaume yupo fiti muda wowote lakini mwanaume akitaka game anapewa kwa kupangiwa
Kuna wanaume wamedate na wadada mda wote wakitaka wanapewa na matumizi ni ya msingi tu sio expenses za kijinga ila mdada wa hivyo wanaume mnamwita cheap? Huoni tatizo hilo.
Wanaume pia tuna mapungufu yetu nimejibu kwa namna ulivyoileta mada yako lakini sijasema kwamba wanaume ni wakamilifu kwenye mahusiano
demu akipenda kweli bila kuwa ombaomba mnamuita cheap na Malaya ila akinyima au akiwa expensive mnaenda kwa Malaya....
Asa wanawake hawajui wafanyaje
Hii ni tafsiri yako, tupo wanaume wengi tu ambao hatuna mtazamo kama huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…