Kwanini wanaume wananunua dada poa?

Kwanini wanaume wananunua dada poa?

So we bila dadapoa ungebaka? Lakini si Kuna mademu
Habari wanajukwaa
Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo
Kila siku tunaskia mara dadapoa wamekamatwa wapi cjui...ila hatujiulizi why wanaongezeka badala ya kupungua.
Naamini Katika maisha Kuna demand side na supply side. Ukisema uzuie dadapoa unakuwa hujasolve tatizo la wanaotumia hao dadapoa.
So inabidi tuulize, why wanaume hutumia dadapoa. Siulizi kusema vibaya mtu yoyote, coz tunatofautiana Imani, mapenzi, hisia, mitazamo etc. na kutumia dadapoa ni kama kupiga puli hamna mwanaume atakubali ila ndo wengi hufanya kwa siri. ..
Sipo hapa kujua nani anafanya nini Nataka nipate Sababu tu zinazodhaniwa kufanya wanaume kufata dadapoa. Kwanzia watoto mpaka wababa wenye wake na watoto...madadapoa wengine wana wateja mpaka watano kwa siku...
Kwa nini na Kuna mademu mitaani, maofisini, vyuoni, nyumbani nk...
Sababu zinazosemwa ni
Kutoridhika na mahusiano au ndoa
Mapenzi siku hizi ni gharama so hamna tofauti na kununua dadapoa
Wengine hawaenjoy mademu normal wanapenda mambo mazuri mazito
Na kadhalika

So wanajukwaa...waume kwa wakike
Why why why
Naomba majibu
Ni Kujiendekeza tuu sababu hapo Unapata Nini sasa mtu huna hisia nae,Ukiwaza kaguswa na watu wangapi kabla ya wewe kuwa Mteja wake unaona kinyaa tuu.
 
Habari wanajukwaa
Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo
Kila siku tunaskia mara dadapoa wamekamatwa wapi cjui...ila hatujiulizi why wanaongezeka badala ya kupungua.
Naamini Katika maisha Kuna demand side na supply side. Ukisema uzuie dadapoa unakuwa hujasolve tatizo la wanaotumia hao dadapoa.
So inabidi tuulize, why wanaume hutumia dadapoa. Siulizi kusema vibaya mtu yoyote, coz tunatofautiana Imani, mapenzi, hisia, mitazamo etc. na kutumia dadapoa ni kama kupiga puli hamna mwanaume atakubali ila ndo wengi hufanya kwa siri. ..
Sipo hapa kujua nani anafanya nini Nataka nipate Sababu tu zinazodhaniwa kufanya wanaume kufata dadapoa. Kwanzia watoto mpaka wababa wenye wake na watoto...madadapoa wengine wana wateja mpaka watano kwa siku...
Kwa nini na Kuna mademu mitaani, maofisini, vyuoni, nyumbani nk...
Sababu zinazosemwa ni
Kutoridhika na mahusiano au ndoa
Mapenzi siku hizi ni gharama so hamna tofauti na kununua dadapoa
Wengine hawaenjoy mademu normal wanapenda mambo mazuri mazito
Na kadhalika

So wanajukwaa...waume kwa wakike
Why why why
Naomba majibu
Hapa mkuu mada yako usingeiwekea swali, kwa sababu katika maelezo yako umeweka kila kitu hadharani na ni kama umemaliza, maana umegusia sehemu zote muhimu.

Sababu kubwa kubwa ya kufanya vitendo hivyo huwa ni ya kisaikolojia zaidi hasa kwa wanaume:

Mtu mwingine akiwa na pesa anapenda kudhalilisha wengine kwa kuchezea wanawake.

Mwingine ni kama kupiga puli, maana yeye ni kufanya tuu bila mjadala ndiyo raha yake.

Wengine ni kwenda kupoza hasira zao walizozipata kwingine.

Wengine wake zao wamezaa, wasije wabemenda watoto zao.

Wengine ni aina ya mitindo katika kufanya uasherati, hawezi mfanyia mkewe, anaona atamharibu.

Wengine kwa ajili ya ubakaji, yaani anabaka kwa pesa ndiyo furaha yake.

Wengine ni kwenda kusherehekea mafanikio flani hasa yale haramu.

Wengine ni pale pesa inapowatembelea hukata fungu la kumi kama sadaka kwenda kuchezea malaya.

Wengine kwenda kuosha janaba baada ya kutoka jandoni.

Wengine huenda kufanya kwa ajili ya kutakasa mikosi.

Sababu zipo zaidi ya elfu, lakini katika sababu zote hizo ni kwa wachache sana ama hawapo kabisa wanaonunua malaya kwa sababu za kutotoshelezwa na partiners zao.

Sababu kuu kabisa na zile nilizozitaja huwa ni kubadilisha 'mboga' ama 'mapishi' tu, lakini upendo kwa wake zao hubakia pale pale, kwani kununua malaya siyo kuchukia mke.
 
Unataka wanunuliwe na nani?
 
Dunia na mambo yake yamebadilika sana

Wanawake waliopo katika ndoa ni kama na wao wanajiuza, wamekuwa na tabia za hovyo...kero kwa waume zao so Wanaume wanaondoa stress kwa hao madadapoa au kwa michepuko
Okay nimekuelewa.. so solution ni ndoa ziwe imara na wanawake walioolewa wawe loyal si ndio
 
Ila makahaba wana watetezi aiseee 😆 tena wakujitolea bila malipo
Wangejua wanavyopiganiwa kutetewa humu kesho pale Riverside kwa kuanzia wangetoa ofa kwa watu 100 wa mwanzo buuureeeeeee
🤣Hamna watu wanaongea tu ..kila mwanaume anakana kwamba anatumiaga...
 
Hapa mkuu mada yako usingeiwekea swali, kwa sababu katika maelezo yako umeweka kila kitu hadharani na ni kama umemaliza, maana umegusia sehemu zote muhimu.

Sababu kubwa kubwa ya kufanya vitendo hivyo huwa ni ya kisaikolojia zaidi hasa kwa wanaume:

Mtu mwingine akiwa na pesa anapenda kudhalilisha wengine kwa kuchezea wanawake.

Mwingine ni kama kupiga puli, maana yeye ni kufanya tuu bila mjadala ndiyo raha yake.

Wengine ni kwenda kupoza hasira zao walizozipata kwingine.

Wengine wake zao wamezaa, wasije wabemenda watoto zao.

Wengine ni aina ya mitindo katika kufanya uasherati, hawezi mfanyia mkewe, anaona atamharibu.

Wengine kwa ajili ya ubakaji, yaani anabaka kwa pesa ndiyo furaha yake.

Wengine ni kwenda kusherehekea mafanikio flani hasa yale haramu.

Wengine ni pale pesa inapowatembelea hukata fungu la kumi kama sadaka kwenda kuchezea malaya.

Wengine kwenda kuosha janaba baada ya kutoka jandoni.

Wengine huenda kufanya kwa ajili ya kutakasa mikosi.

Sababu zipo zaidi ya elfu, lakini katika sababu zote hizo ni kwa wachache sana ama hawapo kabisa wanaonunua malaya kwa sababu za kutotoshelezwa na partiners zao.

Sababu kuu kabisa na zile nilizozitaja huwa ni kubadilisha 'mboga' ama 'mapishi' tu, lakini upendo kwa wake zao hubakia pale pale, kwani kununua malaya siyo kuchukia mke.
Sawa nimekuelewa.. Asante
 
Back
Top Bottom