Kwanini wanaume wanaona ugumu kumsifia mwanaume mwezie kama kapendeza au ni mzuri?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Yani kazini wadada wananiambia, we mzuri au umependeza sana n.k lakini sijawai kuona jamaa wakisema kama ata ile ya kiume kua " aah mwanangu umetokelezea kinoma" kwanini? ni roho ya kwanini au ni nini? zaidi naona kama wengine wananionea wivu namna ninavyoshombokewa na watu. kwanini?
 
Wanaume wengi wanawaangalia wanawake, wanaona hizo tabia za kuangalia wanaume na kuwasifia ni za *******.
 
Yani kazini wadada wananiambia, we mzuri au umependeza sana n.k lakini sijawai kuona jamaa wakisema kama ata ile ya kiume kua " aah mwanangu umetokelezea kinoma" kwanini? ni roho ya kwanini au ni nini? zaidi naona kama wengine wananionea wivu namna ninavyoshombokewa na watu. kwanini?
A very beautiful@haszu
 
Mwanaume mzima Una mke na watoto nyumbani unataka ukasifiwe na wanaume wenzio ili iweje sasa?

Wanaume huwa tunachukua compliments kutoka kwa wanawake Tu.Mi mwanaume ukianza kuniletea pigo za kike eti mara umependeza sitochelewa kukucategorize kwa wanaume mashoga
 
Back
Top Bottom