SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
aisee! kwahiyo jombaa uko serious kabisa unataka wanaume wenzio wakusifie kuwa wewe mzuri?
kuna shida mahali au umekuja hapa kutangaza shida
sentensi maarufu zinazotamkwa na wanaume kwa mwanaume mwenzao ni "jamaa ana hela" au "jamaa ana demu mkali" au "jamaa anamiliki mjengo wa maana" au "jamaa anapiga kazi"
wanaume wapo kumiliki na kushughulika,, mambo ya uzuri ni wanawake unless uwe "mwenzao"..