Naona Tayari nuts zimelegea.. 🤔🤔Yani kazini wadada wananiambia, we mzuri au
😊😃😁😬😁😅😁😃😊😊
Wanaume wengi wanawaangalia wanawake, wanaona hizo tabia za kuangalia wanaume na kuwasifia ni za *******.Yani kazini wadada wananiambia, we mzuri au umependeza sana n.k lakini sijawai kuona jamaa wakisema kama ata ile ya kiume kua " aah mwanangu umetokelezea kinoma" kwanini? ni roho ya kwanini au ni nini? zaidi naona kama wengine wananionea wivu namna ninavyoshombokewa na watu. kwanini?
A very beautiful@haszuYani kazini wadada wananiambia, we mzuri au umependeza sana n.k lakini sijawai kuona jamaa wakisema kama ata ile ya kiume kua " aah mwanangu umetokelezea kinoma" kwanini? ni roho ya kwanini au ni nini? zaidi naona kama wengine wananionea wivu namna ninavyoshombokewa na watu. kwanini?
Hilo Mpaka Hapo Naona Business Digenda ShotiNaona Tayari nuts zimelegea.. 🤔🤔
Zimelegea au matairi yamechomoka?Naona Tayari nuts zimelegea.. 🤔🤔
Msifu afurahie mkuu.Kama mawazo yako ndio haya basi una safari ndefu sana.