SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Dini inakataza.Utapigwa msipa
Yani kazini wadada wananiambia, we mzuri au umependeza sana n.k lakini sijawai kuona jamaa wakisema kama ata ile ya kiume kua " aah mwanangu umetokelezea kinoma" kwanini? ni roho ya kwanini au ni nini? zaidi naona kama wengine wananionea wivu namna ninavyoshombokewa na watu. kwanini?
Hatari sana.Hilo Mpaka Hapo Naona Business Digenda Shoti
Fred kama mzima lazima ngumi imtoke kwakweli..Ali amuambie Fred una macho mazuri,mdomo,mzuri naomba nikutoe out alafu Fred akubali tu.
Kumsifia kapendeza it's very possible kwani ni suala la mavazi hata akivaa kizoba kama ni mtu wa karibu au ndugu unamchana tu.Yani kazini wadada wananiambia, we mzuri au umependeza sana n.k lakini sijawai kuona jamaa wakisema kama ata ile ya kiume kua " aah mwanangu umetokelezea kinoma" kwanini? ni roho ya kwanini au ni nini? zaidi naona kama wengine wananionea wivu namna ninavyoshombokewa na watu. kwanini?
Changamoto SanaZimelegea au matairi yamechomoka?
Sasa jamaa ataka kusifiwa, watamfanya kitu mbayaDini inakataza.
Cc:Ankali T ,Rich Adore , James DeliciousYani kazini wadada wananiambia, we mzuri au umependeza sana n.k lakini sijawai kuona jamaa wakisema kama ata ile ya kiume kua " aah mwanangu umetokelezea kinoma" kwanini? ni roho ya kwanini au ni nini? zaidi naona kama wengine wananionea wivu namna ninavyoshombokewa na watu. kwanini?