Kwanini wanaume wanaona ugumu kumsifia mwanaume mwezie kama kapendeza au ni mzuri?

Ukishasifiwa unajibu vipi sasa? Asanteโ€ฆ au unasemaje.
Mimi ukinisifia nakujibu acha us**ge. Yaani wanaume tusifiane uzuri, huo ni umama.
 
Usichambishwe bure tu, gay community haiko hapa. Sorry
 


WEWE UTAKUWA BWABWA....
 

Una MAKEBO makubwa haszu yanavutia sana kuliwa.
 
Yani kazini wadada wananiambia, we mzuri au umependeza sana n.k lakini sijawai kuona jamaa wakisema kama ata ile ya kiume kua " aah mwanangu umetokelezea kinoma" kwanini? ni roho ya kwanini au ni nini?

 
Hiyo ni kali mzee,mwanaume kumsifia mwanaume mwenzako kwa uzuri si kweli bora mambo mengine,kama perfomance nzuri kwenye kazi, na ishu nyingine za msingi lakini hata hivyo kwenye hayo mambo ya msingi kuja kusifiwa ni kwa mbinde sana
 
Wanaume wanasifiana kwenye property ownership sio personality. Utasikia jamaa ana gari kali,simu kali, au jamii katoboa sana kibiashara. Kwann iko hivo, umuhimu wa mwanaume upo katika matokea yake ulimwengunj si uwepo wake. Uzuri wa mwanaume hauchangii chochote kwenye jamii kama hatoleta matokei chanya. Ndo mana hatusifiani kwa uzuri.
Kwa upande wa wanawake wao wanaamini uzuri wao ndo mafanikio yao, yaan akiwa na personraly nzuri anaamini katoboa, ukimsifia we mzuri, au unatako, basi akili yake inamwambia utashiwishi kila
 
hata sijui unataka nini, au unataka kutatuliwa? mimi namsifia mwanamke ambae nataka nimle sasa namsifiaje mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ