Kwanini wanaume wanaona ugumu kumsifia mwanaume mwezie kama kapendeza au ni mzuri?

Mnauelewa vibaya uanaume. pole sana kijana
 
Mwanamme ana mengi ya kusifiwa sio habari za muonekano bro
 
hauko sawa wewe
 
Wanaume wengi wanawaangalia wanawake, wanaona hizo tabia za kuangalia wanaume na kuwasifia ni za *******.
Wewe unaangalia sana jinsi gani?

Je, una mtizamo sawa na hao wanaume wengi?
 
Washakuvunja wewe sio bure
 
Wewe unaangalia sana jinsi gani?

Je, una mtizamo sawa na hao wanaume wengi?
Mimi nawaangalia wanawake, wanaume niwaangalie uzuri kwa sababu gani? Sina interest na wala hata vigezo sivijui.

Kuna wanaume huwa wanasifiwa uzuri na wanawake, halafu mimi sielewi wanaona nini, kwa sababu kutambua uzuri wa wanaume si fani yangu.
 
Inverted orientation
69 = mimi naona sita wewe upande mwingine unaona tisa.
Duniani kuna mystery.
 
Hii id ya mtu fulani humu jf na nishasemaga sana ana mada za ajabu...
Haya leo tena sina mengi ila hii id ninya vishu mtata kama mnabisha angalieni comment za vishu mtata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…