Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Hivi kwanini wanaume hupenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshimu kama kaka au ndugu, wakati wa kuongea nae badala ya kuweka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa).

Hii tabia inakera ipo siku nitakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
 
Hivi kwanini wanaume upenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshim kama kaka au ndugu, wakati wa kuongea nae badala ya kueka concetration katika kile mnachoongea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa). Hii tabia inakera ipo siku ntakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
We mwanamke gan hutaki kutamaniwa?

Haya hujambo sholo mwamba?
 

Attachments

  • IMG_3066.jpeg
    IMG_3066.jpeg
    58 KB · Views: 3
Back
Top Bottom