Tunaangalia kama umekomaa unyonywe.....Hivi kwanini wanaume upenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshim kama kaka au ndugu, wakati wa kuongea nae badala ya kueka concetration katika kile mnachoongea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa). Hii tabia inakera ipo siku ntakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.