Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

Ndo safi sasa na ndo imeumbikaaa sharot kwa mzungu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwakweli imejaaliwa ndo mtoa mada akajionee ataelewa mnachopitia๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…kusema kweli niliwaza vitu vya kijinga kwa muda mfupi tu halafu nikajifanya km sijaona, wanaume wala hawakuwq na habari ila nina uhakika ukimtoa ngosha Bush Bush huko ukamletea mdoli nina uhakika ng'ombe atakupa
 
Au sioo mangosha wa Siku hizi wajanja weew au atataka na kuashikashika
 
Hivi kwanini wanaume upenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshim kama kaka au ndugu, wakati wa kuonge nae badala ya kueka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa). Hii tabia inakera ipo siku ntakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
Bila picha za BOOBS futa hii takataka
 
Hivi kwanini wanaume upenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshim kama kaka au ndugu, wakati wa kuonge nae badala ya kueka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa). Hii tabia inakera ipo siku ntakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
Una umri gani kiasi cha kutokuelewa kwamba 'uvimbe' wowote kwenye mwili wa mwanamke ni mapambo na vivutio vinavyohamasisha wanaume kusorolea kutazama na kumezea mate?

Manyonyo na makalio kwako unaviona vya kazi gani kwa sababu unavyo unavimiliki, lakini kwa mwanaume asiyekuwa navyo lazima vimfadhaishe kwa kuviangalia kwa sababu vinamtamanisha.

Kama unadhani viliumbwa kwenye mwili wa mwanamke kwa madhumuni ya kunyonyeshea watoto ama kwa sababu ya kukalia, unajidanganya, jiulize kwanini viwe vikubwa?

Kwa hiyo hautaki hata kutamaniwa, si ndiyo?

Ajabu sana hii kupingana na uumbaji wa M/Mungu kwa kweli!
 
Hivi kwanini wanaume upenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshim kama kaka au ndugu, wakati wa kuonge nae badala ya kueka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa). Hii tabia inakera ipo siku ntakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
Kama ni mwanamke na huna matako unataka uangaliwe nini Sasa
 
Back
Top Bottom