Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

Hapo kwa kota kuwa pembe 3, sina mbavu 😂😂😂😂😂 yaani kuna wako wako tu. Wengine unajiuliza anakalia nini? Ni flat haswa japo wanasema eti nyama zote zimeenda mbele... 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Hayo ni matusi. Mumeo yupo hivyo?
Hapo kwa kota kuwa pembe 3, sina mbavu 😂😂😂😂😂 yaani kuna wako wako tu. Wengine unajiuliza anakalia nini? Ni flat haswa japo wanasema eti nyama zote zimeenda mbele... 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Mumeo yupo hivyo?
 
Kimtego!

Sema naweza nkaangalia tu nkawaza ujinga yakaisha lkn nkiona nguo ya ndani ya mwanamke aaaaaah kwishaaaaa yaan avae surual af Pichu ionekane😜😜
Mm nawazaga ujinga nikionaga vibonge sana alafu ni couple nawazaga hiv Hawa nao wanafanya ujinga km sisi Huwa wanafanyaje fanyaje 😂😂😂
 
Hivi kwanini wanaume upenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshim kama kaka au ndugu, wakati wa kuonge nae badala ya kueka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa). Hii tabia inakera ipo siku ntakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
Hata gari Huwa tunakaza macho kwenye plate numbers
 
Hivi kwanini wanaume upenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshim kama kaka au ndugu, wakati wa kuonge nae badala ya kueka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa). Hii tabia inakera ipo siku ntakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
Kama umekali tako tuangalie nini tena zaidi ya maziwa..
Alafu nyie wanawake hamjui starehe ya mwanaume na furaha yake muda mwingine ni kuona maumbile yenu tu basi nafsi na moyo vinatulia..
Mungu alitujulia hasa yaani amewaumba mtustareheshe asilimia 💯
 
Hivi kwanini wanaume upenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshim kama kaka au ndugu, wakati wa kuonge nae badala ya kueka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa). Hii tabia inakera ipo siku ntakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
Maua yanapendeza yakitazamwa,wewe unaficha maua uvunguni yatazamwe na panya au mende.
 
Mm nawazaga ujinga nikionaga vibonge sana alafu ni couple nawazaga hiv Hawa nao wanafanya ujinga km sisi Huwa wanafanyaje fanyaje 😂😂😂
We si bora vibonge.....mi naonaga watu wakubwa kama hawapendani hv, kama hawajui mambo ya show, mbele za watu hata hawaongei hayo mambo lkn Kila siku wanazaaa🤔
 
Hivi kwanini wanaume upenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshim kama kaka au ndugu, wakati wa kuonge nae badala ya kueka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa). Hii tabia inakera ipo siku ntakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
Wengine tuna aibu hatuwezi kuangalia wanawake usoni😅
 
Back
Top Bottom