Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Hivi kwanini wanaume hupenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshimu kama kaka au ndugu, wakati wa kuongea nae badala ya kuweka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa).

Hii tabia inakera ipo siku nitakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
 
We mwanamke gan hutaki kutamaniwa?

Haya hujambo sholo mwamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…