Biological design ya mwanaume ni tofauti na ya mwanamke. Na hii inaenda hadi kwa wanyamaKwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache?
Wanawake wachache ndio huwa na michepuko isiyo ya kuchuna , wengine wengi wanaofanya mapenzi na wanaume tofauti mara nyingi ni kwa sababu ya pesa tu ila sio furaha.
HahahaKuna story Moja ya Zamani Nitawasimulia Wajukuu Zangu..
Ni kwamba Kwa sisi Wazee..
"Zamani tulikuwa Tunaulizwa Lipi Kufuli Bora Lile linaloweza Kufunguliwa na Funguo Moja au lile Linaloweza Kufunguliwa Na kila aina ya Funguo..
Tulikuwa Tunajibu Lile linaloweza Kufunguliwa na Funguo moja tu..
Bhasi walikuwa Wazee wetu wanatujibu safi sana na Hivyo ndivyo Msichana/Mwanamke anapaswa kuwa..."
Pia waliendelea Kutuuliza..
"Ni funguo Gani Huonekana Bora na Inafaa Ni ile Funguo utakayofungua sehemu moja tu au Ni funguo yenye Uwezo wa Kufungua Kila Mlango na Kila kufuli na ungetamani Funguo ipi..
Tulikuwa Tunajibu Funguo Iliyofungua Kila Kufuli ni Bora zaidi kwa sbabu utarahisisha kazi na Itanipa Ujanja sana...
Basi wazee wetu walikuwa wakitujibu Safi sana Na hivyo ndivyo Mwanaume anapaswa kuwa....."
Basi mwenzako Sikujua Hayo maneno maana Yake mpaka Ulivyoandika Hapa leo π π π
Una akili sana Marcy πNi nature kwa viumbe vya namna hiyo
Mfano jogoo 1 huweza kupanda majike yote bandani
Hivyo hivyo kwa wanaume
Kwani wewe ni me au ke, tuanzie hapo.Kwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache?
Wanawake wachache ndio huwa na michepuko isiyo ya kuchuna , wengine wengi wanaofanya mapenzi na wanaume tofauti mara nyingi ni kwa sababu ya pesa tu ila sio furaha.
Wanao konda itakuwa wana mattz mengine πππππ msizidishe sasa mtakondeana bora kiasi
Jogoo wangu ilibidi ni mtafutie msaidizi π€£π€£π€£
maana sio kwa kupungua uzito kule