Kwanini wanaume wanapenda kufanya mapenzi na wanawake wengi tofauti wakati wanawake ni kinyume chake?

mathematically we divide male ratio of 1:20 female (healthy) but 20+ can be applied,other things remain constant...
 
Kwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache?

Wanawake wachache ndio huwa na michepuko isiyo ya kuchuna , wengine wengi wanaofanya mapenzi na wanaume tofauti mara nyingi ni kwa sababu ya pesa tu ila sio furaha.
Haya yalikuwa mambo ya zamani, siku hizi ngoma droo kwani hata wanawake wanafanya zaidi ya haya kwa sasa.
 
Kwani jogoo unamwonaje kutwa zima hadi jioni anakuwa amepanda mitetea mingapi?

Vipi kuhusu mbwa nao, vipi wanyama wa porini huko maana wanahimaya kabisa.

Kifupi dini zimetuingilia kati utaratibu wetu wanaume hasa wa africa tulikuwa na wanawake 20 10 30 ni kawaida tu na ndio ulijali wenyewe huo..

Kuna wengine pia kama hawa mkuu:

premium_photo-1664303875699-8e95cd12601a.jpeg

download (1).jpeg

Au hata orodha kama hii?

Animals That Mate For Life: Photos
 
Ngoja, wanawake gani tunaozungumzia hapa,maana siwezi kukubaliana na wewe kama ni wanawake wa sasa.
 
Kwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache?

Wanawake wachache ndio huwa na michepuko isiyo ya kuchuna , wengine wengi wanaofanya mapenzi na wanaume tofauti mara nyingi ni kwa sababu ya pesa tu ila sio furaha.
Funguo inayofungua makufuli mengi husifiwa, kufuli linalofunguliwa na funguo nyingi hudharaulika na kutupwa, halifai

#MasterKey
 
Kwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache?

Wanawake wachache ndio huwa na michepuko isiyo ya kuchuna , wengine wengi wanaofanya mapenzi na wanaume tofauti mara nyingi ni kwa sababu ya pesa tu ila sio furaha.
Chaiii
 
Back
Top Bottom