Mkasela
Senior Member
- Dec 22, 2018
- 156
- 224
Jibu lako nijepesi mno, chukulia mfano mwanaume mmoja akitembea na wanawake kumi tofauti apo nani Malaya, uyo mmoja au hao kumi?Kwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache?
Wanawake wachache ndio huwa na michepuko isiyo ya kuchuna , wengine wengi wanaofanya mapenzi na wanaume tofauti mara nyingi ni kwa sababu ya pesa tu ila sio furaha.