JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Unlike poles attract,like poles repel,Habari wadau..!
Naomba leo tujadiri hoja hapo juu kuhusu hawa wajamaa wapoleeee harafu Mungu anawakutanisha na magubegube kwa nini ??
Ni kama sumaku,ncha zinazofanana husukumana,zile zinazotofautiana huvutana.