Kwanini wanaume Wapole na wastaarabu huwapenda wanawake ambao hawajatulia?

Kwanini wanaume Wapole na wastaarabu huwapenda wanawake ambao hawajatulia?

Siku zote gari mbovu(mpole) huvutwa na nzima(mjanja) mkuu, sasa wote wakiwa wapole humo ndani hamna hata amsha amsha 😏 inabidi umpate mjanja akuchangamshe changamshe
kweli ila wanatia huruma maana hawana say,ila wanafaidi sana maana wanapata vitu vyenye viwango vya fifa sio vya mchangaji😂😂
 
Weng n madomo zege kwahiyo huwa wanaangalia sehem zinazo tick kirahis
Upo sahihi.

Wanaume wengi (japo sio wote) wapole pia hua ni waoga /wana aibu ya kutongoza. Kutokana na hilo, mara nyingi wanaume wa aina hii huangukia kwa wanawake micharuko ambao hujilengesha/hujirahisisha wenyewe. Na sifa moja ya wanaume wa aina hii ni kwamba hua hawaachi "loose ball" ikapita so mwisho wa siku wanaishia kwa micharuko. Kitaalamu hua tunasema wanaume hawa wanakua na wanawake WANAOWAPATA na sio WANAOWATAKA.
 
Back
Top Bottom