Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Kama Ke hajajiandaa kisaikolojia, manake hawezi kuridhika hata Me afanye nini. Be prepared physically and emotionally, weka matatizo yako huko ili tufurahie uumbaji. Otherwise ukija na madeni, vikoba etc nitafurahi peke yangu na kukuacha ukiumia hapo.
at least we have a man here!
 
kuna wanatoa hela na bado kileleni hawafikishi wanaishia kupigwa hela zao na mnaishia kulalamika wanawake wanapenda pesa
Ni kweli kabisa wanapigwa wengi sana ila kwa sasa watu wana stress sana kikubwa wanachoangalia kukojoa unapita kushoto life linasonga.
 
Huwezi kufika kileleni km akili na mwili wako havijapanga kufika kileleni, vitu vingine wanawake na sie tunajiendekeza.
Inatakiwa umpe ushirikiano wa kutosha huyo anayekufikisha kileleni sio umebweteka.
kweli kabisa mkuu. Sasa mtu anadinywa huku amelala kama gogo atafikaje kileleni? Acheni hizo wanawake jamani.
 
Back
Top Bottom