Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Mwanamke kufika kilele awe ana furahia kushiriki shoo. Kama hana furaha wakati yuko kwenye game hafiki kileleni kwa kuwa anatimiza wajibu tu kwa mume/mpenzi. Sie wengine hatujui kufikisha kileleni, tunachojali ni goli moja tu la mapemaa unageuka upande wa pili, imeisha hiyo hadi mara nyingine tena
 
Mmekaa kwa kutulia goli moja bila kuchosha mwili hiyo furaha ya tendo utaipata wapi 😂 mjitafute tn
 
sio kweli
msituwekee maneno mdomoni plz
 
Umegongwa na wangapi hadi ukafikia hiyo tamati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…