Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Yaani unataka nilipe nauli alafu pia nikuendeshe?hiyo haitawezekana,nalipia ninachohitaji tuu.
 
Basi, mi naona bado mtoto mdogo,kwamba sina permission kuingia huko.
 
Nauli ya kuja nikutumie mie,hela ya lodge nilipe mie,na baada ya tendo nikulipe hela,so hiyo service nimeilipia,nikimaliza tu yangu nasepa
 
Kila mtu apambanie
Kila mtu apambane mwenyewe kufika kileleni..mimi nakazana ku pump ili nijifikishe kileleni,na yeye apambane kujifikisha kileleni..Hivyo yaani
 
Tafuteni hela kilele kipi unataka kukijua ili iweje?? Siku hizi hatuna wanaume eti wapo busy wanaangalia mpiraa na akija kitandani anavua haraka haraka anapiga mechi anaenda kulala
Pole sana
Wako ametahiriwa mwananyamala ndio maana angepita jando usingeandika hivi
 
Mwisho wa yote ukitaja mumeo akukule vyema mpe mvinyo alegee ila siwezi wafundisha magume gume mie wanaoniita kichaa kaeni nakutokojozwa hadi mwisho wa dahari au kiama
Akilewa hakupi utamu kama ambavyo anakuwa sober
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…