Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
View attachment 2898077
Kuna epukika why mkiandaana nakupeana time yakutosha yakuandaana . Ujue jambo mtu akijifungua sio unamwacha mwenzako ikae vile unatakiwa umpake mafuta fulani kwa huo muda ambao ni bado hajatoka uwe unamkanda na tunda fulani unaweka maji ya moto unamkanda sehemu zile kila wakati halafu nakumpaka hayo mafuta wenye kurudisha uke wake katika hali yake . Halafu akipona akazoea umama 6 month to 5 mnaaza kwa kumpa mazoezi ya hapa napale pia kuna aina nyingi ya yeye apone haraka basi maisha ndio hayo.

Anachangamka halafu unapewa chakupewa . Sio lazima uende njee. Ila kama umezoea uzinifu basi utazini tu hata ukiyafanya hayo.
 
Kusema kweli mpendwa hata sijui unaongelea nini. Ulioukwoti ni msemo tu wa vijana wa kijiweni na siyo big deal.
 
mshamba_hachekwi Rabbitus Mrs Besyige Tayana-wog Ivan Stepanov mje mpate darasa 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…