Mwambie huyo π€£π€£π€£Mie namsikiliza dada angu anachosema ,Sina maamuzi π€£
Uwe na stationary akupe tyuuu computer mdogo angu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Thubutuuuu!! π€£π€£π€£π€£Dawa yake si uliniambia? Nampiga na dollar kichwaniπ
Mambo yasiwe mengiπ€£Uwe na stationary akupe tyuuu computer mdogo angu π€£π€£π€£π€£
Aache mgodi asubiri photocopy ?! Staki. Kwahiyo awe karibu na chuo? Staki wamzushie connectionUwe na stationary akupe tyuuu computer mdogo angu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee . Uchawi wa mtu mweupe huo. Sijui akutulize nayo mdogo wako halafu anakuaga anakuja[emoji3]Thubutuuuu!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uchawi wa mtu mweupeπ€£π€£π€£Weee . Uchawi wa mtu mweupe huo. Sijui akutulize nayo mdogo wako halafu anakuaga anakuja[emoji3]
Kwahiyo Shem una mgodi?? π€£π€£π€£Aache mgodi asubiri photocopy ?! Staki. Kwahiyo awe karibu na chuo? Staki wamzushie connection
Hela tu. Da yako atatulia.Uchawi wa mtu mweupeπ€£π€£π€£
Kikao cha mwisho cha familia kimekata jina lako ndugu mulasil π€£π€£π€£π€£Weee . Uchawi wa mtu mweupe huo. Sijui akutulize nayo mdogo wako halafu anakuaga anakuja[emoji3]
Wee lazima uwepo serkali inaponikabidhi leseni ya miaka 100 mafoto sana siku hiyoKwahiyo Shem una mgodi?? π€£π€£π€£
Safi sana bro, mm nimewakubali sana na nimekubali namna umepambania penzi lako. Much respect broπͺTuache tupumzike. Au nipige picha tumepishanisha miguu wenyewe?. Beibe T. Ndio tunaitana sasa hiviππ
Tayana ni wa mulasil, napenda sana couple yaoMulasil niache πππ
Etiiiii mnaitanaje.?? Babe Tee ya nyokwe.!!
Tayana-wog umeniuza kungwi wako??
Ujue utakosa wanaume wa maana ww??πππ
Nimekataa hilo halitowezekana ππTayana ni wa mulasil, napenda sana couple yao
Pesa zinatafutwa, wala sio shida. Shida ni mapenzi ya kweli, mulasil ana mapenzi ya kweli kwako. Kuna siku utakumbuka maneno yanguDawa nitafutie mwenye pesa zaidi kumshinda omu,π€£
Hautaweza. Badala kusema utaliunganisha, ww unasema utalivunja. HautafanikiwaMfyuuuuu!! π€£π€£π€£π€£
Yani nyie nawahakikishia hili penzi lenu nalivunja vipande vipande
Khaaaa jmnπ€£Pesa zinatafutwa, wala sio shida. Shida ni mapenzi ya kweli, mulasil ana mapenzi ya kweli kwako. Kuna siku utakumbuka maneno yangu