Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Anti: unajua money penny, nimwambie kitu??

Money penny: ndio

Anti: unajua wanaume wengi hapa mjini hawajui kufikisha wanawake zao kileleni,

Wengi hawajui G spot ya mwanamke iko wapo

Hawajui kukojoza wanawake zao

Yani wanaume anakupanda Tu kama gari ya mwendo Kasi, akishamaliza yeye anajiona kidume,

Ivi kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Shida iko wap??
Hela mnataka nyinyi
Kufika kileleni mnataka nyinyi
 
Jitahidi nyau wako anakushinda anafikishwa na bwanaake wewe mvivu unategemea kazi afanye peke yake 😂😂😂
Anko naona unadandia majibu ya wenzako kwa.mbele
Ndio nyie mnajifanya straight gay guy maana unapenda kudandia ya wenzio hujui namjibu nani
 
1. Wewe umeshamuona wa kuchunwa. Hakatai. Kalipia kumaliza haja yake. Ukitaka kukojozwa na kufika huko unakotaka wewe,kalipie na wewe. Hiyo huduma si bure.


2. Wanawake wameshakua wahuni. Huyo anaelalamika hafikishwi huko kileleni,ni kwamba amejuaje wanafikishwaga? Kazi kubadilisha wanaume kama anabadilisha chupi. Unategemea nini! Af hawa hawa, wakisha kuwa kama vyandalua,ndo wanaanza kulalamika kwamba hawaolewi. Kumbukeni,mwanaume anapokugegeda,ndo kipimo cha kujua unafaa au hufai. Full stop
 
Back
Top Bottom