Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Hiyo mifano yako haifanyi kazi kwenye mapenzi ya kweli. Hiyo inafanya kazi kwa wale macho kuona
Mama mchungaji ni mtu wa Mungu
Ingekuwa hivyo basi wachungaji wasingesisitiza fungu la kumi…….! Ww unataka kumponza tayana akateseke, na mimi siko tyr kuliona ilo linatokea.!!
Bwana kantry hii ndoa haipo, tafuteni kazi ya kufanya na mwenzio mulasil 🀣🀣🀣🀣
 
Tayana hatateseka kamwe, Nina uhakika mulasil atampambania usiku na mchana
 
Angalau wenye vibamia tumepata mtetezi. So ishu ni kufeel hisia za kweli na sio mambo ya ufundi wa centre bolt🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…