Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Hiyo mifano yako haifanyi kazi kwenye mapenzi ya kweli. Hiyo inafanya kazi kwa wale macho kuona
Mama mchungaji ni mtu wa Mungu
Ingekuwa hivyo basi wachungaji wasingesisitiza fungu la kumi…….! Ww unataka kumponza tayana akateseke, na mimi siko tyr kuliona ilo linatokea.!!
Bwana kantry hii ndoa haipo, tafuteni kazi ya kufanya na mwenzio mulasil 🤣🤣🤣🤣
 
Ingekuwa hivyo basi wachungaji wasingesisitiza fungu la kumi…….! Ww unataka kumponza tayana akateseke, na mimi siko tyr kuliona ilo linatokea.!!
Bwana kantry hii ndoa haipo, tafuteni kazi ya kufanya na mwenzio mulasil [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tayana hatateseka kamwe, Nina uhakika mulasil atampambania usiku na mchana
 
Tatizo hapa ni mapenzi na sio tendo.
Kama kweli wawili mnapenda na kila mmoja anamfily mwenzake basi swala la kishindo sio swala la kiufundi bali ni swala la hisia.

Tatizo ni kwamba watu wanaishi pamoja au niseme ndoa kutokana na vigezo vya elimu, mali, umaarufu nk.
Ila kama watu waliamua kuishi pamoja sababu ya mapenzi toka ndani ya mioyo yao basi hilo swala la kileleni sio agenda kwao
Angalau wenye vibamia tumepata mtetezi. So ishu ni kufeel hisia za kweli na sio mambo ya ufundi wa centre bolt🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom