Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Kwani wanawake mnawafikisha wanaume kileleni ?

Acheni ujinga kwamba unataka ufikishwe yaani ubebwe mzobemzobe mpaka kibo[emoji39]. Hakuna wakukufikisha pambana na Hali yako mpaka ufike Kwa msaada wa mume

hakikisha unashughulika mama mume ni zana tu ya kuitumia ili ufike unakotaka wewe Wala huna sababu ya kumlaumu mwanaume eti hujafikishwa ( uchura mkichwa yaani bichwa maji)

Mwanamke shughulika kamua haswa uhakikishe unafika unakotaka Kila Mmoja anautamu wake mie nachezea mwili wako ila utamu ninao mie wangu na wewe chezea mwili wangu kwa utamu wako

Tumechoka kutwishwa mzigo usio wetu

Pambaneni utamu ni wenu mfike kivyenu na sie kivyetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Utafikishwaje kileleni na hisia huna? Alafu umetulia km chatu aliyemeza mbuzi?
Yaani mwanaume aangaike kujifikisha mwenyewe na bado akuangaikie wewe uliyetulia km gogo!!!!
Nasemaje wanaume km mwanamke hajishughulishi kwenye tendo we kojoa upumzike usijichoshe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Kwa afya ya ustawi wa akili na kende
 
Kwani wanawake mnawafikisha wanaume kileleni ?

Acheni ujinga kwamba unataka ufikishwe yaani ubebwe mzobemzobe mpaka kibo[emoji39]. Hakuna wakukufikisha pambana na Hali yako mpaka ufike Kwa msaada wa mume

hakikisha unashughulika mama mume ni zana tu ya kuitumia ili ufike unakotaka wewe Wala huna sababu ya kumlaumu mwanaume eti hujafikishwa ( uchura mkichwa yaani bichwa maji)

Mwanamke shughulika kamua haswa uhakikishe unafika unakotaka Kila Mmoja anautamu wake mie nachezea mwili wako ila utamu ninao mie wangu na wewe chezea mwili wangu kwa utamu wako

Tumechoka kutwishwa mzigo usio wetu

Pambaneni utamu ni wenu mfike kivyenu na sie kivyetu
sawa mwnaaume wa dar
haya mambo utasimuliwa na wanaume rijali wa mkoani
 
tatizo mna mahandaki tayari..

kuta zote zimeshapukutishwa no natural sensational nerves zote zimesha lose ability..

binti mdogo ameshakutana na kila aina ya mikono halafu mnaanza kulalamikia wanaume.. hawafikishi sasa utafikishwa vipi na mahandaki hayo muda wote unasex unawaza madeni vikoba mala kumdai hela..

😁
 
Mie ni wa mkoani mla ugali hodari Dar yenuewe mpaka shaisahau.

Usitegemee ubinuliwe weeeee mpaka unyoroke kibatali subutuuuuuuu

Changamkia gegedo Sasa unalala kama pilau la mrenda [emoji38] utegemee kweko
 
sio kesi, ikufanye usimfikishe mwanamke kileleni
si ukamsafishe kama umempenda?
 
Siwezi kukwambia idadi maana sijamshikia mtu miguu.

Lakini kwasababu umesema “wanaume wengi”, nikajuwa lazima ni wengi lakini ungetaja wewe idadi ingesaidia kidogo hapa kwenye huu mjadala.
huu uzi hauhusiani na swali ulilouliza
anzisha uzi wako uulize hilo swali
 
Mie ni wa mkoani mla ugali hodari Dar yenuewe mpaka shaisahau.

Usitegemee ubinuliwe weeeee mpaka unyoroke kibatali subutuuuuuuu

Changamkia gegedo Sasa unalala kama pilau la mrenda [emoji38] utegemee kweko
unamajibu kama mpemba!
 
Back
Top Bottom