Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Sawa namuacha asap😅🏃🏃🏃Huyo janja janja nyingi muache haraka sana 😂😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa namuacha asap😅🏃🏃🏃Huyo janja janja nyingi muache haraka sana 😂😂😂😂😂
Jiteteeeee🤣🤣🤣Shemmmmmshengaa
Kashapatikana tatizo ww unamng’ang’ania huyo msukuma wako mfyuuu 🤣🤣🤣🤣Dawa nitafutie mwenye pesa zaidi kumshinda omu,🤣
Mdogo wako mahari nampa kitalu cha madini kabisa hapo Chunya. Pasaka nenda mka survey🏃♂️🏃♂️Huna hela 🤣🤣🤣🤣
Fanya haraka 🤣🤣🤣Sawa namuacha asap😅🏃🏃🏃
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mdogo wako mahari nampa kitalu cha madini kabisa hapo Chunya. Pasaka nenda mka survey🏃♂️🏃♂️
🤣🤣🤣Lzm tuachane tuMfyuuuuu!! 🤣🤣🤣🤣
Yani nyie nawahakikishia hili penzi lenu nalivunja vipande vipande
Familia hatukutaki 😂😂😂😂Shemmmmmshengaa
Unataka nini? Ukafunge mzigo China au heka 50 za parachichi njombe?😂Jiteteeeee🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Tuache tumebadikishana mioyo. Bado filigisi tu😂😂
Hata kwa bakora 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lzm tuachane tu
Mpe computer afungue stationary 🤣🤣🤣🤣Unataka nini? Ukafunge mzigo China au heka 50 za parachichi njombe?😂
Mie namsikiliza dada angu anachosema ,Sina maamuzi 🤣Unataka nini? Ukafunge mzigo China au heka 50 za parachichi njombe?😂
🤣🤣🤣Mpe computer afungue stationary 🤣🤣🤣🤣
Tutaachana vipi Beibi T. Moyo wangu unao na wa kwako ninao?😀 shem da yako huwa anatulia ukimpiga na dollar kichwani niachie🤣🤣🤣Lzm tuachane tu
Basi nimeshamuachaKashapatikana tatizo ww unamng’ang’ania huyo msukuma wako mfyuuu 🤣🤣🤣🤣
Dawa yake si uliniambia? Nampiga na dollar kichwani😂Mie namsikiliza dada angu anachosema ,Sina maamuzi 🤣
🤣🤣🤣🤣Tutaachana vipi Beibi T. Moyo wangu unao na wa kwako ninao?😀 shem da yako huwa anatulia ukimpiga na dollar kichwani niachie
Anaenda China kufunga mzigo
Imepata bakhresa familia 🤣🤣Familia hatukutaki 😂😂😂😂