Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
🙄🙄🤣🤣Kanichamba mpk nimemsusia uzi 🤣🤣🤣🤣
Na kaniambia kwanza nipo naye ndiye ananisaidia kutype
Omu huyuhuyu
Kumekucha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄🙄🤣🤣Kanichamba mpk nimemsusia uzi 🤣🤣🤣🤣
Na kaniambia kwanza nipo naye ndiye ananisaidia kutype
Sio mchezoHuu ni ukweli, niamini inawezekana kila mmoja akawa nuru ya mwenzie. Pesa isikutishe, komaa na penzi la kweli.
Shem unajujaje 🙄😅Mulasil uwezo wa kutafuta pesa na kupata anao
Ww unajichosha tyuu!! Huyo mulasil mtafutie mke mwingine 😂Amkatae ili iweje? Huyo ni mtumisi wa Mungu, hujui kaonyeshwa nn kwa Mulasil
OhoooUsikubali kuyumbishwa
Ujue nimechekaWw unajichosha tyuu!! Huyo mulasil mtafutie mke mwingine 😂
Hiyo mifano yako haifanyi kazi kwenye mapenzi ya kweli. Hiyo inafanya kazi kwa wale macho kuonaPesa hata falme zote zilikuwa imara kutokana na uchumi wao. [emoji23]
Mwanaume huwa hashindwi jambo, hakuna hitaji utataka akashindwa. Atatafuta na atapata, hiyo ndiyo sifa ya mwanaume aliyependa. Mulasil kakupendaShem unajujaje [emoji849][emoji28]
OmulasilAmkatae ili iweje? Huyo ni mtumisi wa Mungu, hujui kaonyeshwa nn kwa Mulasil
Usivuruge mapenzi ya kweli, hiyo ni dhambi.Ww unajichosha tyuu!! Huyo mulasil mtafutie mke mwingine [emoji23]
Ataniweza mie?Mwanaume huwa hashindwi jambo, hakuna hitaji utataka akashindwa. Atatafuta na atapata, hiyo ndiyo sifa ya mwanaume aliyependa. Mulasil kakupenda
Komaa, penzi la hivyo hutokea mara chache.Ohooo
Niwe na msimamo Shem lake[emoji1787]
🤣🤣Money Penny Hebu Tuache Kwanza.
Usicheke Tayana, mulasil anamaanisha. Kwenye mapenzi ya kweli hakuna utaniUjue nimecheka
Mbavu Sina
Mtu mgeni anaweza kujua kweli [emoji28]
Ila lamomy ,eti falme zote zilikuwa inara sbb ya uchumi🤣🤣Pesa hata falme zote zilikuwa imara kutokana na uchumi wao. 😂
Mimi nimewapenda, mnapendezana sana
Makubwa 😅Usicheke Tayana, mulasil anamaanisha. Kwenye mapenzi ya kweli hakuna utani
Tayana pesa makaratasi, hayo matumizi atabalance tu. Utatunzwa ondoa hofu, pesa inatafutwaAtaniweza mie?
Maana Nina matumizi dada yangu ananijua vyema ndo maana hataki nihamgaike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]