Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Baada ya kugundua kuwa mwanamke kufika kileleni sio jukumu langu, bali ni lake...niliacha kuwaza huo ujinga kabisa,...hutaki kufika kileleni hiyo mi hainihusu,utakapohitaji kufika utaenda mwenyewe....
Wana watakuwa wanakuchapia sana
Hasa walioenda jando
 
  • Mshangao
Reactions: 511
Hili swala inatakiwa lijadiliwe Bungeni tena na Mama akiwepo ili tujue tunafanya nn! Mm km mm sku hat km huwa wanafka huko kunakoitwa kileleni kwa sababu nying tu, Kuna sometimes unakuwa hauna mzuka na huyo manzi ,wengne ni lazy ktandana ,ila Kuna bibie ang huyo weeh yn yule huwa nahs ndio anafkaga kilelen Akiwa na mm kuna muda had anataman akumeze wakat mpo kwenye harakat hpo ulingoni.
Unaonekqna kwenye mapenzi umeingia jana
Pole
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Tatizo hapa ni mapenzi na sio tendo.
Kama kweli wawili mnapenda na kila mmoja anamfily mwenzake basi swala la kishindo sio swala la kiufundi bali ni swala la hisia.

Tatizo ni kwamba watu wanaishi pamoja au niseme ndoa kutokana na vigezo vya elimu, mali, umaarufu nk.
Ila kama watu waliamua kuishi pamoja sababu ya mapenzi toka ndani ya mioyo yao basi hilo swala la kileleni sio agenda kwao
Amina
 
  • Thanks
Reactions: 511
Yaani nipoteze muda wangu kukupandisha kilimani![emoji23] Halafu muda wa kutafuta pesa nitautoa wapi[emoji23] Au tutakula ngono?

Na ndio maana mke wangu nilimruhusu awe na viserengeti Boys. Hayo mambo ya kunyonyana vinyeo tuwaachie vijana wa 2000's
Mliotahiriwa hospital mko na majibu mfanano
 
We utakuwa haujaenda jando ndio maana unatumia pesa kupapasa wanawake
Utakuwa unachapiwa mkeo kila kukicha
Am fucken good at it, muulize mke wangu au michepuku lioonja. Kuna nimeachana nae 2011 kila akikumbuka anasema chupi inaloa
 
We utakuwa haujaenda jando ndio maana unatumia pesa kupapasa wanawake
Utakuwa unachapiwa mkeo kila kukicha

We utakuwa haujaenda jando ndio maana unatumia pesa kupapasa wanawake
Utakuwa unachapiwa mkeo kila kukicha
Am fucken good at it, ila kwa one nite stand natafuta mshindo tu. Why jinogeshe wakati nalipia
 
Back
Top Bottom