Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Nikupe hela,. Nikufikishe na kileleni bure!

Ukianzisha Safari hakikisha una nauli la sivyo haufiki uendako.

Tipeni hela
 
Kama mnadai mlipwe, muhudumiwe , matumizi nk nk tuwafikishe tena kileleni, kama mnalala kama maiti au magogo huwezi fika kileleni, zungusha kiuno utafika hadi mount Mount Everest
 
Kama mnadai mlipwe, muhudumiwe , matumizi nk nk tuwafikishe tena kileleni, kama mnalala kama maiti au magogo huwezi fika kileleni, zungusha kiuno utafika hadi mount Mount Everest
Wewe hata jandoni hujaenda
Ungeenda usingeongea hivi
Mwanaume wa kweli hayo ulioandika ndio majukumu yake hatakiwi kulalamika
Ila sababu umetahiriwa mwananyamala hatukulaumu
Hata dem akikaa kama nyoka bado hutamfikisha kokote
 
Anti: unajua money penny, nimwambie kitu?

Money penny: ndio

Anti: unajua wanaume wengi hapa mjini hawajui kufikisha wanawake zao kileleni. Wengi hawajui G spot ya mwanamke iko wapo. Hawajui kukojoza wanawake zao

Yani wanaume anakupanda Tu kama gari ya mwendo Kasi, akishamaliza yeye anajiona kidume.

Hivi kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Shida iko wapi?
Uume kutosimama imara.
 
Back
Top Bottom