Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,932
- 2,525
Kalio ndio kila kitu, inaitwa mboga kwa watu wa ArushaKwa nini wanaume Waafrika/blacks wanapenda/kuvutiwa au kupagawa na wanawake wenye makalio makubwa sana tofauti na wanaume wa kizungu na sehemu kubwa ya Asia kama China, Japan, Korea n.k ambao huvutiwa zaidi na wanawake wenye makalio madogo?