shirley myles
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 916
- 612
Mi mwenyewe kama wewe huu mwaka wa 5 sijawahi kupaka mafutaMimi usafiri wangu miguu, nikipakaa mafuta ya mgando na hili jua la Dar nahisi kama naungua halafu nakuwa mwekundu. Nikipakaa lotion naloa majasho vibaya sana.
Acha kumnyonya mwenzio Makalio, mwanamke unafanya nini nyuma ya kidume, wewe kwako front side tu.Kweli kabisa hawapaki mafuta hasa kwenye makalio wamepauka balaaa na inapelekea ukurutu chini ya uvungu wa makendeee
Ushauri wangu watumie mafuta ya nazi kwa suluhisho lao.
Halafu uwe unaoga na mwenzio sometimes na mpakane mafuta, inapunguza haya malalamikoKweli kabisa hawapaki mafuta hasa kwenye makalio wamepauka balaaa na inapelekea ukurutu chini ya uvungu wa makendeee
Ushauri wangu watumie mafuta ya nazi kwa suluhisho lao.
We Dada kwenye makalio ya mwanaume mwenye TEZIDUME mbili ulifuata nini?Kweli kabisa hawapaki mafuta hasa kwenye makalio wamepauka balaaa na inapelekea ukurutu chini ya uvungu wa makendeee
Ushauri wangu watumie mafuta ya nazi kwa suluhisho lao.
Bahati mbaya sana alisema yeye ni mwanaume[emoji848]Mtoa mada nikisema wewe ni mwanamke malaya nitakuwa nakukosea?
Maana huwezi toa tuhuma ambazo hauna uhakika nazo kwenye public.!
Kwa tuhuma hizo ni ushahidi kuwa wewe umepitiwa na wanaume wengi wa aina hiyo uliowaripoti hapa.
Badili tabia (ushauri)
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app