Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 602
hujakikuta wewe!kuna watu wanapiga foreplay kama wapo kwenye INTERVIEW my dear!LOL camoooooooooooooooooooooooooooooooooooooon!mmmh hv kimoja kinaweza kuwa cha ukweli kweli?
Hao wazamani ndiyo mauzauza kila siku kwa babu kubusti, vijana wa siku hizi ngoma kama kawa.Kizazi cha waume wa mbegu kiliisha zamani, wasasa mauzauza tu.
eeeeeeeeeeeehhhh mwezi kwa mwezi Smile,.....we kibokoheri lakini msituzeeshe bure kwa kutubinuabinua usiku kucha.dkk 2 watu tunalala kwa raha hadi mwezi uishe ndo kingine tena
Umewapimaje jomba?
amini au usiamini!ndoa nyingi zimejaa wanawake kama wewe ambao mnatupelekea tuwe na nyumba ndogo!siamini kwa vibinti vya sikunhizi vinaweza kucheza round 3, labda mwanume ufike mara halafu ya 3 ndo ukavizie la sivyo,kakikuanza hakakupi tena imekula kwako!wanaume wengi bado wana nguvu za kutosha ndio maana nyumba ndogo imekuwa kam fasheni!heri lakini msituzeeshe bure kwa kutubinuabinua usiku kucha.dkk 2 watu tunalala kwa raha hadi mwezi uishe ndo kingine tena
amini au usiamini!ndoa nyingi zimejaa wanawake kama wewe ambao mnatupelekea tuwe na nyumba ndogo!siamini kwa vibinti vya sikunhizi vinaweza kucheza round 3, labda mwanume ufike mara halafu ya 3 ndo ukavizie la sivyo,kakikuanza hakakupi tena imekula kwako!wanaume wengi bado wana nguvu za kutosha ndio maana nyumba ndogo imekuwa kam fasheni!
hahahahahahahaha hilo neno bt napita 2heri lakini msituzeeshe bure kwa kutubinuabinua usiku kucha.dkk 2 watu tunalala kwa raha hadi mwezi uishe ndo kingine tena
Maisha magumu yanachangia,unaingia tu nyumbani shikamoo baba,hatuna daftari,pesa ya tuition ,umeme umeisha ,bili ya maji na mchele umeisha,baba na mimi sina viatu pia Ada shuleni tumefukuzwa.mzee mzima huna kitu na hata Hiyo moja umejitahidi sana,usingizi wenyewe hupati vizuri lini utawaza issue?