Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 602
kama ilivyo tabia nchi kuna tabia mwili pia,kuna mabadiliko ya mfumo wa ulaji kulingana na mazingira,binaadamu wa kipindi chetu ni tofauti kabisa na vizazi vilivyopita,pili kipindi cha nyuma ilikuwa nadra sana kuona maungo hovyo hovyo kama tuonavyo sasa hii inatufanya tuyazoee maana mtu kwenye daladala tu unaweza disa zaidi ya mara moja.filamu za ngono zinazoamsha hisia zipelekeazo wanaume na hasa wavulana kuizoea sana puchu.pili muongezeko wa shughuli nyingi zinazosababisha uchovu wa kiakili na kimwili na wakati mwingine msongo wa mawazo.