Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

kama ilivyo tabia nchi kuna tabia mwili pia,kuna mabadiliko ya mfumo wa ulaji kulingana na mazingira,binaadamu wa kipindi chetu ni tofauti kabisa na vizazi vilivyopita,pili kipindi cha nyuma ilikuwa nadra sana kuona maungo hovyo hovyo kama tuonavyo sasa hii inatufanya tuyazoee maana mtu kwenye daladala tu unaweza disa zaidi ya mara moja.filamu za ngono zinazoamsha hisia zipelekeazo wanaume na hasa wavulana kuizoea sana puchu.pili muongezeko wa shughuli nyingi zinazosababisha uchovu wa kiakili na kimwili na wakati mwingine msongo wa mawazo.
 
Maisha magumu yanachangia,unaingia tu nyumbani shikamoo baba,hatuna daftari,pesa ya tuition ,umeme umeisha ,bili ya maji na mchele umeisha,baba na mimi sina viatu pia Ada shuleni tumefukuzwa.mzee mzima huna kitu na hata Hiyo moja umejitahidi sana,usingizi wenyewe hupati vizuri lini utawaza issue?
 
Wengi wangapi? Toa takwimu kidogo tutathmini kama una hoja ya msingi?
 
Nadhani kwanza inabidi tuweke viwango ili tujue hali ipi ndio uchovu au ipi ndio uimara kama kuwahi/kuchelewa au magoli mengi/kidogo au tendo ni kila baada ya muda gani etc. ili tuweze kubaini mpaka (point of reference) kati ya uchovu na uimara. Bila ya hivi tutacheza makidamakida
 
labda ni seme kuwa bao moja si mbaya ila inachukua muda gani na ufanisi wake (efficience) ni kiasi gani kwani inaweza ikawa bao moja lakini faida kibao (mfano bao moja la chura mayai 98000567.892)
vile vile bao moja kwa siku ndio vizuri kwa afya kwani mtu hachoki ovyo hasa wachezaji mpira na baadhi wanaofanya kazi ngumu
Japo kwa mm viwili vinanitosha cha tatu mpaka ni dundulize dundulize nahisi kwangu kikubwa ni msosi
 
heri lakini msituzeeshe bure kwa kutubinuabinua usiku kucha.dkk 2 watu tunalala kwa raha hadi mwezi uishe ndo kingine tena
amini au usiamini!ndoa nyingi zimejaa wanawake kama wewe ambao mnatupelekea tuwe na nyumba ndogo!siamini kwa vibinti vya sikunhizi vinaweza kucheza round 3, labda mwanume ufike mara halafu ya 3 ndo ukavizie la sivyo,kakikuanza hakakupi tena imekula kwako!wanaume wengi bado wana nguvu za kutosha ndio maana nyumba ndogo imekuwa kam fasheni!
 
mh jaman kubinuana teina? bwn hli n suala la m2 na m2 wake me naamini km mnapendana thn ukamwambia mwenzi wako akufanyie k2 flan ili uenjoy km uwezo huo upo na ni mwelewa lazma atafanya ili akufurahshe.
 
amini au usiamini!ndoa nyingi zimejaa wanawake kama wewe ambao mnatupelekea tuwe na nyumba ndogo!siamini kwa vibinti vya sikunhizi vinaweza kucheza round 3, labda mwanume ufike mara halafu ya 3 ndo ukavizie la sivyo,kakikuanza hakakupi tena imekula kwako!wanaume wengi bado wana nguvu za kutosha ndio maana nyumba ndogo imekuwa kam fasheni!

na ndio maana nyumba ndogo zinakuwa na wanaume wengi maana mmoja hawaridhishi, mwenyewe unajiona mwanaume rijali ukiwa na nyumba ndogo kumbe unadangannywa tu.
 
Mi huwa nasema kuwa , laiti ingetokea hawa wanawake wanawashuhudia waume/mabwana zao

jinsi wanavyojishughulisha faragha wakiwa na nyumba ndogo,

yumkini wasingeamini kama kweli hao ni waume/mabwana zao..........

mechi za ugenini hizi,.....we acha tu

''ufundi wote na ujuzi unamwagwa huko''
 
Maisha magumu yanachangia,unaingia tu nyumbani shikamoo baba,hatuna daftari,pesa ya tuition ,umeme umeisha ,bili ya maji na mchele umeisha,baba na mimi sina viatu pia Ada shuleni tumefukuzwa.mzee mzima huna kitu na hata Hiyo moja umejitahidi sana,usingizi wenyewe hupati vizuri lini utawaza issue?

thats makes sense, kaka!
 
Alete data ndipo tutajadili kwenye hizo data kwa kulinganisha na idadi ya watu waliowahoji. Kwanza nipende kukanusha kuwa sio kweli wanaume ni wachovu kitandani bali ni wanaume hodari na wenye uwezo wote wa kuwafikisha kileleni wake zao. Tatizo la wanaume sio kutojiamini, mwanaume kwa asili ameumbwa kuwa mtu wa kujiamini na kufanya mambo bila ya kutaka msaada wa mtu. lakn tatizo ninaloliona wakati mwingine liko upande wa mwanamke au wakati mwingine liko upande wa mwanaume au pande zote mbili. nitaelezea kwa ujumla kwa faida ya wote-
1. matumizi ya dawa za majira/kuzuia mimba kwa wanawake hubadili hali ya miili ya wanawake hata kuwafanya kutojisikia kushiriki tendo hilo. matokeo yake kila mwanaume anapoomba hapewi na wakati mwingine anapewa kwa taabu sana baada ya ugomvi. hii huweza kujenga hisia tofauti na za mwanzo hata upendo kuanza kupungua kwa mke wake. upendo ukikosekana ni vigumu kufanya tendo la ndoa kwa mda mrefu na mtu huyo ndiyo maana wengine unakuta wanafika ndani ya dk 5. kama unabisha mchukue mwanaume unayemuita ni mchovu kitandani mpatie mwanamke anayempenda na kuwa na hisia naye toka moyoni, uone kazi itakayofanyika, itakuwa tofauti nanile ya kwa mke wake. Laki ni pia kama tungekuwa wachovu, mbona hadi leo watu wameoa wananwake wengi na pamoja na ndoa zao wana wanawake kibao nje ya ndoa ambao wanafanya nao tendo la ndoa na kuwaridhisha. tatizo ni namna gani anakuwa treated na mke wake. vilevile kama mwananume anafanya matendo yanayofanana na haya ni vigumu mke wake kuridhika kwani anapokuwa anafanya naye tendo la ndoa anakuwa kama vile anambaka. sio kweli mwananmke anakuwa hajaandaliwa tatizo linakuwa ni la kisaikolojia, ampeta athari ambazo ni lazima ziondolewe kabla ya kufurahia tendo hilo.

2. wanawake kutokuwa tayari kutoa ushirikiano katika tendo la ndoa kwa wanaume zao, hili linashusha morari ya wanaume kulifanya. wengine unakuta wanajisifu kuwa aah mm nimechoka na kwa kuwa jamaa anadai tendo hili kila mara huwa namwaambia kama anataka afunue, afanye akimaliza afunike. je hapo kama ni mwanaume utajikiaje, je unadhani hata siku nyingine akikubali ufanye naye tendo hilo, utalifurahia? wanawake epukeni kuwa kama magogo wasiyoweza kugeuka hadi yageuzwe na mtu anayetaka kuyatumia

3.ugomvi na migogoro ya mara kwa mara- kama wahusika wana ndoa ya aina hii ni vigumu kwao kulifurahia tendo hili na kwa wanaume akishamchukia mkewe, hata hamu ya kutenda na mkewe hutoweka, hivyo wanawake wasiwe wepesi kulaumu, waangalie je ni watii kwa waume zao kama Biblia inavyoelekeza au ni wajeuri.

mm nawashauri wanandoa wajenge tabia ya kukaa na kululuhisho mambo yao kisha wapate amani mioyoni mwao, hicho kitarejesha nguvu za kiume wanazotaka kutoka kwa waume zao. Je GT ni humu humu wako wanawake wengi walikuja na maada za kulalamikia waume zao kuwa tangu walipoowaoa wanatoa dozi kubwa ya kima cha chini 4 hadi 7 kwa siku, wajiulize je hizo nguvu kwanini zimeondoka?

tuepuke kuwalaumu wenzetu wanapokosea bali tujenge tabia ya kuwasaidia ili wasikosee- Aserne Wenger
 
Low performance ni moja ya mpango mkakati uliobuniwa long time ago wa KUPUNGUZA UWEZO WA KUZALIANA NA KULETA FAMILY CONFLICTS ili sera kama za "kuwepo ndoa za mikataba, wanawake kuoana(usagaji), ukahaba( uhuru wa kufanya ngono na anayefikisha), n.k...ziweze kukubalika! Hii imetekelezwa kupitia; vyakula vingi vilivyopo sokoni, vinywaji vya kuvutia, mashine mbalimbali hasa computa, shughuli nyingi zinazotuweka busy, baadhi ya nguo za ndani hutengenezwa kwa material yasiyofaa mf. Boxer,n.k! "Sikulazimishi uamini, kama hutaki fanya utafiti ukiwa na "open mind"
 
Back
Top Bottom