Kwanini Wanaume wengi wakiingia kwenye Ndoa wanapata kitambi?

kimara Kimara

Member
Joined
Jul 7, 2024
Posts
80
Reaction score
173
Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi.

kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA 🙂

.......
 
Attachments

  • 468326442_878508187798346_2261209682077009257_n.jpg
    468326442_878508187798346_2261209682077009257_n.jpg
    91.5 KB · Views: 10
Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi.

kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA 🙂

.......
Wengine wana konda wengine wanakufa mapema wengine wanachanganyikiwa, wewe kama umepata kitambi mshukuru Mungu.
 
Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi.

kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA 🙂

.......
kwa utafiti upi? bila utafiti ni porojo hizi.
 
Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi.

kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA 🙂

.......
na vile vitambi vya akina junia kule kindergarten unavielezeaje? nao wana ndoa?
 
Kwenye ndoa wote ni vitambi ikiwa ndio ushuani hadi kina junia na caren wote ni vitambi.

Nawaona wale wa nimemnenepesha lakini akaniacha wanapasha kwa mbaali
 
Kwasababu ukioa unaanza kulazimishwa kula hata kama hauna njaa ukisema umeshiba unaambiwa umeshakula kwa wanawake zako
Ni kweli,mimi baada ya kutoka home na kuwa na kwangu,tulikuwa tunakula mpaka naona sio poa

Afu sijui wanawake wapoje kwenye kula ni kama anakutegea unajikuta umekula chakula kingi,akipakua ukimwambia punguza hatak analazimisha ule hicho hicho alichopakuwa

Kuna wakat nikiwa nipo asubuh nilikuwa namgomea sinywi chai,maana nikishinda nyumban nakuwa kama chura tumbo ndii
 
Iko hivi,Mwanamke kabla hamjaoana,anakupenda kwa ule muonekano wako,umbo lako zuri,uvaaji wako mzuri,pato lako n.k
Mkishaoana,mambo huwa kinyume.Atajitahidi uwe na muonekano wa ki father zaidi,ili usivutie wanawake na vibinti vingine.Atakomaa ule vyakula vyenye mafuta na wanga mwingi,ili unenepe,uwe bonge na kitambi,upoteze mvuto kabisa.
Hata nguo atajitahidi uache kuvaa cardets na jeans,atakushonea mashati ya vitenge na suruali za vitambaa zenye upana kama za Kim jong Un,ilimradi upoteze mvuto na usiwavutie wanawake wengine,uwe wake peke yake.
 
Kukaangiziwa vitu laini laini, wewe umekaa seblen umetulia zako mara unaletewa kasupu, hujakaa sawa kamnofu uonje mara hivi tufirigisi tumekaangwa kwenye kisosi
 
Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi.

kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA 🙂

.......
FB_IMG_17331841654207386.jpg
 
Iko hivi,Mwanamke kabla hamjaoana,anakupenda kwa ule muonekano wako,umbo lako zuri,uvaaji wako mzuri,pato lako n.k
Mkishaoana,mambo huwa kinyume.Atajitahidi uwe na muonekano wa ki father zaidi,ili usivutie wanawake na vibinti vingine.Atakomaa ule vyakula vyenye mafuta na wanga mwingi,ili unenepe,uwe bonge na kitambi,upoteze mvuto kabisa.
Hata nguo atajitahidi uache kuvaa cardets na jeans,atakushonea mashati ya vitenge na suruali za vitambaa zenye upana kama za Kim jong Un,ilimradi upoteze mvuto na usiwavutie wanawake wengine,uwe wake peke yake.
aisee inawezekana
 
Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi.

kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA 🙂

.......
Siyo wote
 
Mimi nadhani ni mwanamke anakuwa amedhamiria kukutoa mchezoni......ili usivutie kwa wengine kama vile ambavyo wewe ulimvutia.......

Lakini pia nadhani na stress za majukumu ya kifamilia na ubize wake unakufanya unakosa hata muda wa kufanya mazoezi na wengine ili kupunguza kero hutumia muda mwingi kwenye pombe na nyama choma.........

Nadhani pia mtu ukishaoa ratiba yako ya kula kuisimamia inakuwa mtihani....maana unaweza kuzua balaa ukikataa kula chakula chake......
 
Back
Top Bottom